Mkuu huo moto upo
Ni kweli Mungu uliyemtaja hapo juu ni Mungu wa upendo, wa amani wa furaha n.k
Anasema Mwenyeezi Mungu katika Qur'an... Angalipenda angetutiisha wote (tutii amri zake) kama alivyowatiisha malaika,
Lakini aliamua kutupa uhuru kila mmoja afuate njia aipendayo bila kushurutishwa
Dunia ni kama shule tu, utapewa mitihani ukiifanya vizuri unakua rewarded umefaulu ukiifanya vibaya unakua rejected mwishoni
Anauliza Mwenyezi Mungu katika Qur'an anadhani mwanadamu ataachwa hivi hivi kwa kusema kwake tu ameamini? Bla shaka atatiwa katika mitihani hakuna janja janja muzee
Kama si hivyo dunian pangekua mahala pa ajabu sana
Dhulma ingetawala, mauwaji yangeshamiri, uzinzi, ubakaji, unyonyaji, fitna, na takataka zote uzijuazo zingeongezeoa mara milioni ya hizi uzionazo sasa