Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Mahakama ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, imemuhukumu Sanya Kalamangola mwenye umri wa miaka 25, kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka mtoto wa mke wake baada ya mkewe kwenda kumuuguza mjamzito.