Jela miaka 30 kwa kumbaka mtoto wa mke wake

MAHAKAMA ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, imemuhukumu Sanya Kalamangola mwenye umri wa miaka 25, kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka mtoto wa mke wake baada ya mkewe kwenda kumuuguza mjamzito.
Futa uandike tena
 
Amevuna alichopanda
 
Mbona ulichoandika hakieleweki vizuri mkuu.

Kichwa cha habari kinasema mtuhumiwa kambaka mke na mtoto wake, afu habari inaishia kambaka tu mtoto wa mke wake.

So tafadhali kaa chini uandike vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…