Jela miaka 30 kwa kuzini na mwanaye wa kumzaa mwenye miaka 9

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Mahakama ya Wilaya ya Mkinga, Mkoani Tanga imemuhukumu Waziri Iddi Kasimu (35), mkazi wa kijiji cha Mavovo, kata ya Bwiti, Wilaya ya Mkinga, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kuzini na mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 9.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mwandamizi Lukengelo Lameck Deda, ambaye alieleza kuwa ushahidi uliowasilishwa na upande wa mashtaka ulikuwa wa kutosha kuthibitisha hatia ya mshitakiwa bila kuacha shaka yoyote.

Akitoa adhabu hiyo, Deda ameleza kua, hiyo itakua ni fundisho kwa mshitakiwa pamoja na watu wengine wanaotenda makosa yanayofanana na hilo. Ameongeza kuwa mshitakiwa alikua na wajibu wa kumlinda mtoto wake, dhidi ya vitendo vya ukatili, cha kushangaza yeye amegeuka kuwa mkatili kwa mwanae jambo ambalo halikubaliki katika jamii.

Maoni yangu
Jamii inapaswa kushirikiana kwa karibu katika kulinda watoto dhidi ya ukatili wa aina yoyote. Ni muhimu kuimarisha elimu kuhusu haki za watoto, kuwahamasisha watu kuripoti matukio ya unyanyasaji, na kuhakikisha kuwa sheria zinatumika ipasavyo kuwawajibisha wahalifu. Watoto wanapaswa kulelewa katika mazingira salama yanayowapa upendo, ulinzi na fursa ya kukua bila hofu.

Hili ni somo kwa jamii nzima, mzazi ana wajibu wa kulinda na kulea, siyo kuharibu maisha ya mtoto wake. Tunapaswa kuendelea kupaza sauti dhidi ya vitendo vya ukatili na kuhakikisha kuwa wahusika wanachukuliwa hatua kali za kisheria.

504105058_1261965712273694_6637295266389884975_n.jpeg
 
Jesus christ 😳😳😳😳
 
Huo si ubakaj iweje iwe miaka 2? Mbona hap anamakosa mawili kufanya mapenz na hirimu na kubaka?
 
Alafu kuna watu wanasema ushirikina ...
Kuna mijitu akili haina yaani mibaba kama hiyo ni kukamata na kukata uume kabisa alafu mnamuacha mtaani kama alama kwa wengine..

Kumfunga ni yale yale anaenda jela anaendeleza tabia yake...

Sheenzi kabisa i imenikera sana aiseee
 
Baba mwehu ndio huyo sasa. Hii ni aina ya mibaba hata humu jf ipo inayotamani vitoto vidogo kwa madai vitoto siku hizi vina nona haraka madhara yake ndio hayo
 
Mahakama ya Wilaya ya Mkinga, Mkoani Tanga imemuhukumu Waziri Iddi Kasimu (35), mkazi wa kijiji cha Mavovo, kata ya Bwiti, Wilaya ya Mkinga, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kuzini na mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 9.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mwandamizi Lukengelo Lameck Deda, ambaye alieleza kuwa ushahidi uliowasilishwa na upande wa mashtaka ulikuwa wa kutosha kuthibitisha hatia ya mshitakiwa bila kuacha shaka yoyote.

Akitoa adhabu hiyo, Deda ameleza kua, hiyo itakua ni fundisho kwa mshitakiwa pamoja na watu wengine wanaotenda makosa yanayofanana na hilo. Ameongeza kuwa mshitakiwa alikua na wajibu wa kumlinda mtoto wake, dhidi ya vitendo vya ukatili, cha kushangaza yeye amegeuka kuwa mkatili kwa mwanae jambo ambalo halikubaliki katika jamii.

Maoni yangu
Jamii inapaswa kushirikiana kwa karibu katika kulinda watoto dhidi ya ukatili wa aina yoyote. Ni muhimu kuimarisha elimu kuhusu haki za watoto, kuwahamasisha watu kuripoti matukio ya unyanyasaji, na kuhakikisha kuwa sheria zinatumika ipasavyo kuwawajibisha wahalifu. Watoto wanapaswa kulelewa katika mazingira salama yanayowapa upendo, ulinzi na fursa ya kukua bila hofu.

Hili ni somo kwa jamii nzima, mzazi ana wajibu wa kulinda na kulea, siyo kuharibu maisha ya mtoto wake. Tunapaswa kuendelea kupaza sauti dhidi ya vitendo vya ukatili na kuhakikisha kuwa wahusika wanachukuliwa hatua kali za kisheria.

Kala kuku, mayai, vifaranga na firigisi zake
 
Lichunguzwe nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hili........
Unajua wanawake wakiamua kukutendea jambo na pia hata body figure ya huyo mzee kiupelelezi inaonekana ni innocent....
 
Kuna watu wa kufunga sio mafala kama hawa,
Wangechukua nyundo moja kuubwa, wakaweka kende zake kwenye chuma.
Wanaponda pumbu 1, moja.. mpaka zinakuwa unga.

Wanamuacha aendelee na maisha yake.
 
Back
Top Bottom