Champion number one
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 1,560
- 4,016
Ivi mbn sikupati pm😳😳😳😳
Ivi mbn sikupati pm😳😳😳😳
Sure watoto walindwe.
Jamii inapaswa kushirikiana kwa karibu katika kulinda watoto dhidi ya ukatili wa aina yoyote.
Jaribu tenaIvi mbn sikupati pm
hakuna cha ushirikina hapo, .....ni akili zake za kijinga tuMambo ya ushirikina yatatuponza mno, Mungu kama akikuandikia utapata tu
Watu wa kijijini hao anakuwaje sasa smart.Mmh 35 mbona kachoka sana
Wamesema miaka 30Huo si ubakaj iweje iwe miaka 2? Mbona hap anamakosa mawili kufanya mapenz na hirimu na kubaka?
Kabisa.Kuna watu wa lufunga sio mafala kama hawa,
Wangechukua nyundo moja kuubwa, wakaweka kende zake kwenye chuma.
Wanaponda pumbu 1, moja.. mpaka zinakuwa unga.
Wanamuacha aendelee na maisha yake.
Mwanachi huyoooMahakama ya Wilaya ya Mkinga, imemhukumu Waziri Iddi Kasimu (35), mkazi wa kijiji cha Mavovo, kata ya Bwiti, Wilaya ya Mkinga, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kuzini na mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 9.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mwandamizi Lukengelo Lameck Deda, ambaye alieleza kuwa ushahidi uliowasilishwa na upande wa mashtaka ulikuwa wa kutosha kuthibitisha hatia ya mshitakiwa bila kuacha shaka yoyote. Akitoa adhabu hiyo Deda ameleza kua, hiyo itakua ni fundisho kwa mshitakiwa pamoja na watu wengine wanaotenda makosa yanayofanana na hilo.
Ameongeza kuwa mshitakiwa alikua na wajibu wa kumlinda mtoto wake, dhidi ya vitendo vya ukatili, cha kushangaza yeye amegeuka kuwa mkatili kwa mwanae jambo ambalo halikubaliki katika jamii.
View attachment 3363574
Source: Ayo Tv
Shabiki waYanga huyo hujaona tambala alilovaaKuzini??? Mbona mnalegeza maneno ni kumbaka mfululizo mtoto..
Ila jamaniiì