Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Jesus christ 😳😳😳😳Mahakama ya Wilaya ya Mkinga, Mkoani Tanga imemuhukumu Waziri Iddi Kasimu (35), mkazi wa kijiji cha Mavovo, kata ya Bwiti, Wilaya ya Mkinga, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kuzini na mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 9.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mwandamizi Lukengelo Lameck Deda, ambaye alieleza kuwa ushahidi uliowasilishwa na upande wa mashtaka ulikuwa wa kutosha kuthibitisha hatia ya mshitakiwa bila kuacha shaka yoyote.
Akitoa adhabu hiyo, Deda ameleza kua, hiyo itakua ni fundisho kwa mshitakiwa pamoja na watu wengine wanaotenda makosa yanayofanana na hilo. Ameongeza kuwa mshitakiwa alikua na wajibu wa kumlinda mtoto wake, dhidi ya vitendo vya ukatili, cha kushangaza yeye amegeuka kuwa mkatili kwa mwanae jambo ambalo halikubaliki katika jamii.
Maoni yangu
Jamii inapaswa kushirikiana kwa karibu katika kulinda watoto dhidi ya ukatili wa aina yoyote. Ni muhimu kuimarisha elimu kuhusu haki za watoto, kuwahamasisha watu kuripoti matukio ya unyanyasaji, na kuhakikisha kuwa sheria zinatumika ipasavyo kuwawajibisha wahalifu. Watoto wanapaswa kulelewa katika mazingira salama yanayowapa upendo, ulinzi na fursa ya kukua bila hofu.
Hili ni somo kwa jamii nzima, mzazi ana wajibu wa kulinda na kulea, siyo kuharibu maisha ya mtoto wake. Tunapaswa kuendelea kupaza sauti dhidi ya vitendo vya ukatili na kuhakikisha kuwa wahusika wanachukuliwa hatua kali za kisheria.
Alitakiwa afe kabla ya hukumu.Ni kumsumbua hakimu kwa kesi kama hiyo.Mmh 35 mbona kachoka sana
Huo si ubakaj iweje iwe miaka 2? Mbona hap anamakosa mawili kufanya mapenz na hirimu na kubaka?Mahakama ya Wilaya ya Mkinga, Mkoani Tanga imemuhukumu Waziri Iddi Kasimu (35), mkazi wa kijiji cha Mavovo, kata ya Bwiti, Wilaya ya Mkinga, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kuzini na mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 9.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mwandamizi Lukengelo Lameck Deda, ambaye alieleza kuwa ushahidi uliowasilishwa na upande wa mashtaka ulikuwa wa kutosha kuthibitisha hatia ya mshitakiwa bila kuacha shaka yoyote.
Akitoa adhabu hiyo, Deda ameleza kua, hiyo itakua ni fundisho kwa mshitakiwa pamoja na watu wengine wanaotenda makosa yanayofanana na hilo. Ameongeza kuwa mshitakiwa alikua na wajibu wa kumlinda mtoto wake, dhidi ya vitendo vya ukatili, cha kushangaza yeye amegeuka kuwa mkatili kwa mwanae jambo ambalo halikubaliki katika jamii.
Maoni yangu
Jamii inapaswa kushirikiana kwa karibu katika kulinda watoto dhidi ya ukatili wa aina yoyote. Ni muhimu kuimarisha elimu kuhusu haki za watoto, kuwahamasisha watu kuripoti matukio ya unyanyasaji, na kuhakikisha kuwa sheria zinatumika ipasavyo kuwawajibisha wahalifu. Watoto wanapaswa kulelewa katika mazingira salama yanayowapa upendo, ulinzi na fursa ya kukua bila hofu.
Hili ni somo kwa jamii nzima, mzazi ana wajibu wa kulinda na kulea, siyo kuharibu maisha ya mtoto wake. Tunapaswa kuendelea kupaza sauti dhidi ya vitendo vya ukatili na kuhakikisha kuwa wahusika wanachukuliwa hatua kali za kisheria.
Upwiru...ushirikina wapi Wala asingejulikanaMambo ya ushirikina yatatuponza mno, Mungu kama akikuandikia utapata tu
Huu ulikuwa utaratibu wa kiyahudi miaka 2000 iliyopitaHivi hukumu ya kubondana na mawe hadi kufa ilifutwa?
Hatuwezi kuurudisha?Huu ulikuwa utaratibu wa kiyahudi miaka 2000 iliyopita
Unajua kukutanisha tupu na msichana bikra tena ambaye ni haramu kwako kunafungua milango ya mafanikio Kwa upande mwingineUpwiru...ushirikina wapi Wala asingejulikana
Uliwekwa utaratibu mwingine wa wahalifu kuwekwa magerezani,ikiwa ni shinikizo la haki za binadamuHatuwezi kuurudisha?
Kala kuku, mayai, vifaranga na firigisi zakeMahakama ya Wilaya ya Mkinga, Mkoani Tanga imemuhukumu Waziri Iddi Kasimu (35), mkazi wa kijiji cha Mavovo, kata ya Bwiti, Wilaya ya Mkinga, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kuzini na mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 9.