Inasemekana ss ni kama fallen angels, tumewekwa mateka kwenye huu mwili, thus why knowledge inapohusika tunakutana na pingaimizi na adhabu kali.
Adam and eve
days Noah
Babel tower
Watchers sio holy angles ni binadam kama ss sema walijitambua wakafikia maximum potential fakijijua wao ni nan na wakatoka ndo maana hata uwezo wa kuzaliana na wanadam wanao course ni kiti kimoja tofaute ni vibration tu.
Nisikia mchungaji mmoja anatema the day you become perfect is the day u will die.
Musa alifikia potential fulani ambabo kifo hakimuwezi tena, mungu akamuambia panda mlimani uachilia nafsi yako
NI kweli kabisa mkuu!
Ila hapo kwa mchungaji kuwa The day you become perfect is the day you will die..
Kachanganya ni kwamba The day you dying is the Day that You'll be shown and you Will remember everything and see everything on Way that it is na utajua kuwa hata maisha uliyokuwa ukiishi uliyachagua wewe mwenyewe na kuwa maisha hote ni illusion na sio halisi..
Hapo ndo utajiona mjinga so after that Utaomba Tena nafasi Ucorrect some of the mistakes ukiamini ukirudi tena utaweza kucorrect na utapewa ila kumbukumbu hazitakuwepo tena na Circle continue.."The Circle of samsara"..
One you knew everything na ukakumbuka kila kitu namaanisha ukiwa enlighted au Awakened kwenye huu Mwili hapo ndo utahesabiwa mshindi na utajitoa Rasmi kwenye Hiyo Circle..
Kuhusu Fallen Angels.. Sisi sio tu fallen Angels bali ni miungu.. (Mungu)..
Zaburi 82:5-7
"Hawajui wala hawafahamu, hutembea gizani;
Misingi yote ya nchi imetikisika.
Mimi nimesema, Nyinyi ni miungu,
Na wana wa Aliye juu, nyote pia.
Lakini mtakufa kama wanadamu,
Mtaanguka kama mmoja wa wakuu."
Kuhusu Musa
Kwenye Gnostic Kabbalah (baadhi ya Judaism Mystery ) Musa Sio Mtu as in such ni Hatua anayofikia Mtu anapokuwa anajitafuta kwenye Seffirot..
Na hatua kubwa Hulinganishwa na yule aliyefikia kwenye Miaka 1000 yaani Seffirot 10 ambayo hata Adam hakufikisha..
Musa aliishia njiani..na akakabismdhi kwa Yoshua Nun..
Kwanza angalia majina yao na maana zake..
MOSHE ni mym na Shin..
Na Yoshua bin nun ni Nun..
So Musa ni maji na Moto na Yoshua alikuwa maji kwa Herufi ya nun ambayo inamaanisha Samaki..
Kuna Vingi sana vya kuelezea Kuhsu code za Biblia..
Ila kifupi ni kwamba we Are fallen Angel l, Yes and we are Gods... Kuna mengi sana ya kusema kuhusu Haya ila watu bado wamegubikwa na Usingizi wa Dini