Jembe kiboko lilimaliza CHADEMA likifundisha watoto wa wapiga kura Tarime

Jembe kiboko lilimaliza CHADEMA likifundisha watoto wa wapiga kura Tarime

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
IMG_20210715_191204.jpg
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Mbunge wa Tarime Mwita Waitara akifundisha somo la Hisabati katika Shule ya Sekondari Nyamwigura Tarime hivi karibuni.

#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari https://t.co/kjYGNCmYC7
 
Tate Mkuu wacha tufundishe wanetu
Huyu Idugunde anaonekana ni mshamba sana! Mwita Waitara ni mwalimu kitaaluma!! Sasa cha ajabu ni kipi akiamua kutenga muda wake kujikumbusha hiyo kazi?

Sasa si atazimia kabisa siku akimuona rafiki yake Msukuma akiweka mawe barabarani ili kuwapora abiria mali zao! Maana nasikia zilikuwa ndiyo kazi zake hizo za wizi wa kuteka magari usiku na kupora!
 
Elementary probability
Naona hapo itakuwa a die is rolled and a coin is tossed, find the probability that ...ukikitana na kaswali kama hako unakuwa kama unamsukuma mlevi🤣🤸‍♂️🐒
 
Back
Top Bottom