Jembe ni Jembe na sakata la Hamornize kuhama WCB

Tuambie aliiingia mkataba wa muda gani kwanza!?
 

Mara 2 au 4 kwa siku,
Kwa siku ngapi hela yako ina expire? Wiki? Mwezi au aje
 
Tuache ushabiki wcb mnasema inanyonya kwahiyo 600m ndani ya miaka mitatu ni ndogo,alitaka apate ngapi labda tuanzie hapo
 
Tuweke akiba ya maneno tusiseme habari za mfuko wa mtu,dogo kwa jembe hakuna jipya hajawahi kua meneja wa msanii yeyote
Jembe ni jembe mill 600 anazo , labda changamoto yake ni kuhoji experience yake kama ataweza kumanage msanii mkubwa kama Harmonize....Yule Mwamba keshi anayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…