Jembe ni Jembe na sakata la Hamornize kuhama WCB

Jembe ni Jembe na sakata la Hamornize kuhama WCB

Tuambie aliiingia mkataba wa muda gani kwanza!?
Ha ha mkuu milioni 600 kwa kuvunja mkataba unadhani ni nyingi?unajua anaingiza kiasi gani kwa mwaka?wengi mnadhani dhiki mlizo nazo basi kila mtu anazo, wanaingiza hela aisee huyo harmonize tukisema tuondoe sifuri moja ni ili kuvunja mkataba iwe milioni 60, amini show mbili tuu akifanya analipa, kwa uwekezaji waliofanya wasafi unahisi harmonize kwa potential yake na muda uliobaki kwenye mkataba wake ana thamani gani?
 
Amna mkuu acha propaganda, tulipeleka tangazo letu la tatiana cakes tukaambiwa tangazo la sekunde 15 kwa radio ni laki saba kwa mara mbili kwa siku na M 1 mara nne kwa siku isipokuwa kwenye XXL.
.
Na ofa yao ni watangazaji kulizungumzia tangazo hivyo ni almost sekunde 40, kwenye Tv wana bei ndogo sana laki saba la sekunde 30 la picha inayotembea na picha mnato laki tano picha mnato wanaonyesha mara nne ila inayotembea mara tatu, Tv haina viewers wengi.
.
Watu wenye gharama ni ITV na EATV wale hatukurudi tena gharama ya picha mnato kwa tangazo litakaloonekana ITV mara tatu tunatangaza Clouds tv siku tatu na mara nyingi na ukiwapa pesa ndogo Clouds fm hawakatai ila wanaweka sauti ya haraka sana

Mara 2 au 4 kwa siku,
Kwa siku ngapi hela yako ina expire? Wiki? Mwezi au aje
 
Tuache ushabiki wcb mnasema inanyonya kwahiyo 600m ndani ya miaka mitatu ni ndogo,alitaka apate ngapi labda tuanzie hapo
Ha ha mkuu milioni 600 kwa kuvunja mkataba unadhani ni nyingi?unajua anaingiza kiasi gani kwa mwaka?wengi mnadhani dhiki mlizo nazo basi kila mtu anazo, wanaingiza hela aisee huyo harmonize tukisema tuondoe sifuri moja ni ili kuvunja mkataba iwe milioni 60, amini show mbili tuu akifanya analipa, kwa uwekezaji waliofanya wasafi unahisi harmonize kwa potential yake na muda uliobaki kwenye mkataba wake ana thamani gani?
 
Tuweke akiba ya maneno tusiseme habari za mfuko wa mtu,dogo kwa jembe hakuna jipya hajawahi kua meneja wa msanii yeyote
Jembe ni jembe mill 600 anazo , labda changamoto yake ni kuhoji experience yake kama ataweza kumanage msanii mkubwa kama Harmonize....Yule Mwamba keshi anayo
 
Back
Top Bottom