Jemedari awaambia Yanga msidhani mkiingiza katimu kenu kataifunga Al Ahl

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
KUNA TOFAUTI KATI YA SIMBA NA TIMU ZA LIGI KUU :๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

-Jemedari anasema watu wasijichanganye wakadhani simba sc ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น inafanana na timu nyingine za Ligi Kuu ya Tanzania bara. Anasema Simba ni tofauti kabisa na timu nyingine, kwamba ubora wake uko juu zaidi.

-Waangalie wakicheza na timu kama alahly egypt๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ.....unaweza kufikiria ukiingiza katimu kako hapa itakuwaje....unatakiwa kwanza ukubali, halafu kuiga sio kitu kibaya.....Unakubaliana na Jemedari?
 
mwaka juzi wakaingia chaka kumpeleka pyramid mwanza wakajua tukimpeleka kwa mkapa atatuua kwakua uwanja ni wakimataifa so pyramid atakua anakipiga kama yupo home

Yanga vichekesho yani uwanja ambao hata wao hawajauzoea eti wanataka wakauzoee pamoja na wageni, mwisho wa siku pyramid wakawa wakwanza kuuzoea uwanja na yanga ikawa iko ugenini
 
Hutofautiani na wale waaminio kila kitu na ni mitaji mikubwa sana kwa Manabii feki hata akikwambia uvue nguo akuombee hukatai wala kutumia akili za kuzaliwa kuhoji kwanini asivue yeye kwanza?

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
usipanik bro,relax huu mchezo hautaki hasira. Muwekeeni clips za pira biriani huyu labda atakaa sawa
 
Dah! eti jemedari kasema, acheni ushamba nyie mikia simba ni timu kama timu nyingine ndio mahana inaweza kucheza na ruvu shooting na ruvu ikapata ushind, ni kama simba ilivyocheza na waarabu na kupata ushindi na huo ndio mpira kwani ata kibonde anaweza kumuotea anaejua na kumfunga.

Lakini mashabiki wasimba naona kama mmekua kama mnaimba taarabu mipasho kwa kwenda mbele ebu punguzeni shobo kidogo mahana badae mnaweza kuja kujuta
 
We jamaa utapata pressure bure maana unajitahidi sana kupingana na ukweli ihurumie afya yako na wanaokuzunguka
 
Simba Vs Vita.
Haki ya Mungu Simba watachezea mvua ya magoli,Vita ni noma.
Ikaisha hivi Simba 1-0 As Vita.

Simba Vs Al Ahly.
Simba watapigwa khamsa waarabu sio wa mchezo.
Ikaisha hivi Simba 1-0 Al Ahly.

Baada ya hapo sasa maneno ni haya:
"Simba ni timu kama timu zingine inaweza kucheza na ikapata ushindi"
 
Kukaa kimya ni muhimu, Simba kwenye mechi 6 za CAF championship imeshinda mechi 4 imetoa sare moja na kufungwa moja, bado unaifananisha na Ruvu shooting?

Simba imecheza michezo miwili ya mwisho na As Vita imeshinda zote tena home and away, imecheza na Al Ahly mechi mbili za mwisho imeshinda zote unaanza kufananisha na ushindi wa Ruvu ambao hata Ruvu shooting wenyewe hawaamini hadi Leo hadi msemaji wao akaamua kuita timu yake barca ya bongo ili aweke kumbukumbu?

Kuweni na heshima basi, hata kama Simba mnacheza naye kwenye ligi moja
 
AL ahly ni timu bora kushinda Simba, tena by far.
Mbona alishawahi kula mkono kutoka Mamelodi? Lakini bado ni timu bora na mtu yeyote anayefuatilia football angeitabiria ushindi.
 

Jifunze kuandika wewe Utopolo..!

Hivi kuna shobo kama kuwa Kamati ya Mapokezi kwa timu za nje? Nyie ndo maana tunasema yale maombi ya siku tatu kuhusu Covid 19 yalipaswa kuelekeza kwenye timu yenu ya Utopolo.
 
Naona unajazba sijajua ni wivu au uchungu tu
 
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] mimi kama shabiki kindakidaki jangwani sea breeze nakubaliana na jemadari
 
narudia kusema simba timu kama timu nyingine ana kitu cha kutisha zaidi ya mipasho ya mashabiki wake
 
Hahaaa mwaka huo hata magufuli hajulikani.
Juzi tu hapo... Mimi nakubali simba kwa sasa niyamoto lakin sijui kwanini mnagoma kukubali yanga ya kampa kampa tena ilikua hatarii zaidi...

Kampa kampa tena ilikua yanga tishio
 
Juzi tu hapo... Mimi nakubali simba kwa sasa niyamoto lakin sijui kwanini mnagoma kukubali yanga ya kampa kampa tena ilikua hatarii zaidi...

Kampa kampa tena ilikua yanga tishio
Hakuna asiyekubali kua ile Yanga ya Manji kwa kipindi kile kwenye ligi ya Tanzania ilikua bora kuliko timu zote, huo Ndio ukweli, Ila hamkufika level ambayo Simba imefikia kwa miaka hii mitatu. Yanga iliyoyopo saizi inawezekana ikawa sawa na Yanga ya manji ila utofauti saizi ni kwamba Simba kipindi hiki yuko mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ