Jemedari: Camara na Diarra waondoke Tanzania

Wachezaji wazawa wenye Uwezo hawapati namba dhidi ya Wageni?
Kibu Denis, Ibrahim Bacca
Abdulrazack hamza, Clemen mzize na wengineo wanapataje nafasi? Kama timu inapata wachezaji wa kutosha ndani ya nchi haina sababu ya kutafuta wachezaji nje...

Katika wachezaji zaidi ya 400 wanaocheza NBCPL sidhani kama wageni wanazidi hata 80 hawa wazawa 300 na zaidi hawatoshi kungeneza timu imara ya Taifa?
 
Maswali ya kujiuliza;
1.Kipindi ambacho hatukuwa na wachezaji wengi wa kigeni (1961 hadi 2010) hiyo taifa stars ilifuzu mara ngapi kwenda AFCON?

2. Baada ya uwepo wa wachezaji wengi wa kigeni( 2011 hadi 2024) taifa stars imeshafuzu mara ngapi kwenda AFCON?

3.Kabla ya uwepo wa wachezaji wengi wa kigeni vilabu vyetu vilifanya nini katika mashindano ya CAF?

Kwa kifupi huyo kazumari ni takataka . Hata yeye anatakiwa kupunguzwa kwenye idadi ya wachambuzi wa mpira abaki kuwa MCHA-MBUZI.
 
Jemedari ni Meneja wa Manula baada ya kushindwa kumtafutia Timu mteja wake.kabaki kulia lia
 
Fikiria Yanga Golikipa Metachs😅🤣
 
Hatuna na hatujawahi kuwa na malengo ya kuwa na timu bora ya taifa. Ni lini umeona vipaji vya wachezaji vikiendelezwa kutoka ngazi ya chini hadi ngazi ya taifa?

Yaani AZAM FC na MTIBWA SUGAR ndio zitufanye tuwe na timu bora ya taifa kweli wakati wenye mamlaka wakiwa mbele kwa ajili ya kuzihujumu?
Huo ni uongo.
 
Wageni ndio wameikuza hii league yetu...

Tukipunguza ndio tutarudi hatua 30 nyuma.
Mchezaji anayejielewa hata akikaa bench bado atapambana.

Nashauri; waongezwe mpaka wafike 15.
 
Ukitaka ujue Bongo bado sana, nenda kaangalie ligi daraja la kwanza.
 
Hoja inakuja, unawaleta wachezaji wa kigeni kwa gharama kubwa alafu kiwango duni wakati Kuna mzawa ana kipaji kuliko huyo mgeni...mifano IPO mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…