Jemedari: Mpira wa Tanzania umejaa watu wajinga

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
MPIRA WA TANZANIA UMEJAA WATU WAJINGA - JEMEDARI

Hivi yupo mtu anafikiri kwamba Mangungu akiondoka ndio timu itacheza vizuri?. Sifikiri hivyo, ni kauli aliyoanza nayo mchambuzi na mdau wa soka nchini Jemedari Said akiongea na waandishi wa habari Novemba 09, 2023 akitoa maoni yake kuhusu kinachoendelea kwenye klabu ya Simba na kusisitiza kuwa, haya yote yanayotokea wameyataka wenyewe mashabiki wao na wao kama wadau walishaonya dhidi ya haya yanayotokea.

Jemedari ameendelea kwa kusema kuwa, wao kama wadau walishaonya lakini wanachama na mashabiki wa Simba SC walitoa majibu ambayo ameyaita ni mepesi kwamba wana furaha na kwenye timu kinachotafutwa ni furaha.

"Kwa bahati mbaya mpira wa nchi hii una watu wengi wajinga, wakati Simba wanabadilisha katiba na watu walikuwa wanawaambia kuwa mnafanya makosa, majibu yao yalikuwa mepesi tu kwamba sisi tuna furaha na kwenye mpira sisi tunataka furaha, mwacheni Dewji afanye chochote anachokitaka" alisema Jemedari

Jemedari ameongeza kuwa, inapotokea Simba ikifanya vizuri inakuwa ni ya Dewji na upande wake lakini ikifanya vibaya ni Mangungu ya Mangungu na wanachama jambo ambalo analiita ni wanachama kutumika kwa kujua au kutokujua

"Timu ikifanya vizuri ni ya Dewji na upande wake lakini ikifanya vibaya ni Mangungu na wanachama, ni aidha wanachama wanatumika na hawajui wanatumika huku wanajua" alisisitiza Jemedari na kuongeza

"Alivyomaliza Dewji katika nafasi ya mwenyekiti wa Bodi akamuachia Try again hivyo basi Try again kama ni tatizo basi tatizo kubwa ni Mohamed Dewji kwa maana yeye ndio amemweka"

Jemedari amemkingia kifua mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu kwamba yeye asilaumiwe kwa kuwa hana nguvu kikatiba na sio yeye amependa kuwa hivyo ni bali wanachama na mashabiki ndio wameamua awe hivyo.
1699596840164.jpg
 
Jemedali anamtetea mzee aliyeahidiwa ubunge na mzee JK kwa maslahi ya nani,,?

Maslahi yake binafsi baada ya kupigwa "bahasha"

Maslahi ya mzee kipara

au Maslahi ya genge lile "janjajanja"?

msitutoe kwenye reli,, Kipara, Jaribu Tena na michezaji yao ya mchongo lazima waondoke,,
 
Jemedari anajionaga anajua kila kitu.

Huyu Mangungu anastahili lawama na moja ya kitu cha kijinga alicho fanya kumleta mchezaji ambaye club ilikuwa inamuhitaji ,ila yy akamtumia kama ngazi ya kupatia kura kwa mshabiki wasio jitambua.

Ila mashabiki wengi waliokuwa wanajitambua waliliona hili na wakalipigia kelele.Kile kitendo kinaweza kika reflect kama Mangungu hajui kusimamia mpira bali anafanya siasa kwenye mpira.Kile kitendo kina onyesha Mangungu, alishindwa kujiuza kwa wapiga kura,kupitia sera,mbinu na mipango endelevu kwa club.

Mashabiki wa Simba wana haki ya kumkataa na wapo sahihi.
 
MPIRA WA TANZANIA UMEJAA WATU WAJINGA - JEMEDARI

Hivi yupo mtu anafikiri kwamba Mangungu akiondoka ndio timu itacheza vizuri?. Sifikiri hivyo, ni kauli aliyoanza nayo mchambuzi na mdau wa soka nchini Jemedari Said akiongea na waandishi wa habari Novemba 09, 2023 akitoa maoni yake kuhusu kinachoendelea kwenye klabu ya Simba na kusisitiza kuwa, haya yote yanayotokea wameyataka wenyewe mashabiki wao na wao kama wadau walishaonya dhidi ya haya yanayotokea.

Jemedari ameendelea kwa kusema kuwa, wao kama wadau walishaonya lakini wanachama na mashabiki wa Simba SC walitoa majibu ambayo ameyaita ni mepesi kwamba wana furaha na kwenye timu kinachotafutwa ni furaha.

"Kwa bahati mbaya mpira wa nchi hii una watu wengi wajinga, wakati Simba wanabadilisha katiba na watu walikuwa wanawaambia kuwa mnafanya makosa, majibu yao yalikuwa mepesi tu kwamba sisi tuna furaha na kwenye mpira sisi tunataka furaha, mwacheni Dewji afanye chochote anachokitaka" alisema Jemedari

Jemedari ameongeza kuwa, inapotokea Simba ikifanya vizuri inakuwa ni ya Dewji na upande wake lakini ikifanya vibaya ni Mangungu ya Mangungu na wanachama jambo ambalo analiita ni wanachama kutumika kwa kujua au kutokujua

"Timu ikifanya vizuri ni ya Dewji na upande wake lakini ikifanya vibaya ni Mangungu na wanachama, ni aidha wanachama wanatumika na hawajui wanatumika huku wanajua" alisisitiza Jemedari na kuongeza

"Alivyomaliza Dewji katika nafasi ya mwenyekiti wa Bodi akamuachia Try again hivyo basi Try again kama ni tatizo basi tatizo kubwa ni Mohamed Dewji kwa maana yeye ndio amemweka"

Jemedari amemkingia kifua mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu kwamba yeye asilaumiwe kwa kuwa hana nguvu kikatiba na sio yeye amependa kuwa hivyo ni bali wanachama na mashabiki ndio wameamua awe hivyo.View attachment 2810768
Namuunga mkono
 
Anamtetea machinga mwenzake
 
Yaani Bin Kazumari huyu huyu ni wa kuwaita mashabiki wenzake wa simba wajinga kweli?

Aisee nitashangaa kama mashabiki lia lia hamtamporomoshea mvua ya matusi huyu shabiki mwenzenu muasi.
Huyo mmakonde yeye ni mtu wa bahasha hapo ameshalamba toka kwa mmakonde mwenzake ambaye ni mtu wa JK na ameahidiwa ubunge 2025.
 
MPIRA WA TANZANIA UMEJAA WATU WAJINGA - JEMEDARI

Hivi yupo mtu anafikiri kwamba Mangungu akiondoka ndio timu itacheza vizuri?. Sifikiri hivyo, ni kauli aliyoanza nayo mchambuzi na mdau wa soka nchini Jemedari Said akiongea na waandishi wa habari Novemba 09, 2023 akitoa maoni yake kuhusu kinachoendelea kwenye klabu ya Simba na kusisitiza kuwa, haya yote yanayotokea wameyataka wenyewe mashabiki wao na wao kama wadau walishaonya dhidi ya haya yanayotokea.

Jemedari ameendelea kwa kusema kuwa, wao kama wadau walishaonya lakini wanachama na mashabiki wa Simba SC walitoa majibu ambayo ameyaita ni mepesi kwamba wana furaha na kwenye timu kinachotafutwa ni furaha.

"Kwa bahati mbaya mpira wa nchi hii una watu wengi wajinga, wakati Simba wanabadilisha katiba na watu walikuwa wanawaambia kuwa mnafanya makosa, majibu yao yalikuwa mepesi tu kwamba sisi tuna furaha na kwenye mpira sisi tunataka furaha, mwacheni Dewji afanye chochote anachokitaka" alisema Jemedari

Jemedari ameongeza kuwa, inapotokea Simba ikifanya vizuri inakuwa ni ya Dewji na upande wake lakini ikifanya vibaya ni Mangungu ya Mangungu na wanachama jambo ambalo analiita ni wanachama kutumika kwa kujua au kutokujua

"Timu ikifanya vizuri ni ya Dewji na upande wake lakini ikifanya vibaya ni Mangungu na wanachama, ni aidha wanachama wanatumika na hawajui wanatumika huku wanajua" alisisitiza Jemedari na kuongeza

"Alivyomaliza Dewji katika nafasi ya mwenyekiti wa Bodi akamuachia Try again hivyo basi Try again kama ni tatizo basi tatizo kubwa ni Mohamed Dewji kwa maana yeye ndio amemweka"

Jemedari amemkingia kifua mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu kwamba yeye asilaumiwe kwa kuwa hana nguvu kikatiba na sio yeye amependa kuwa hivyo ni bali wanachama na mashabiki ndio wameamua awe hivyo.View attachment 2810768
Mashabiki ambao wanaamini kushinda kila mechi ni mzigo na hawaelewi nini maana ya changamoto!

Jemedari yuko sahihi
 
Back
Top Bottom