Jemedari: Mpira wa Tanzania umejaa watu wajinga

Huyu jemedari atakuwa muhuni anayelipwa na wahuni wenzie pale Simba.

Mangungu tunamchukia kutokana na kitendo chake cha utapeli kuleta siasa kwenye timu.Alituletea Manzoki kupiga naye picha wakati anahitajika kucheza ili tu achaguliwe kwenye uongozi.Sasa anatuletea Manzoki wakati hachezi na hajulikani kiwango chake kwa vile tu anatuona wanachama wajinga.

Kama sio yeye,kwa nini asiseme ukweli ni upi.Yeye ndiye mwakilishi wetu,sasa kama kuna tatizo,wewe unataka tuliseme wakati hatijui huko ndani huyo mo na genge lake wanafanya maamuzi gani ya kipuuzi bila kuambiwa na mwakilishi wetu?

Kama amekwambia wewe,una bahati unaujua ukweli,sasa unathubutuje kutuita wajinga?wewe akili ungekuwa nazo ungeajiriwa na hapo ulipo?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hilo suala Manzoki mbona ni la muda mrefu na hamkulizngumzia kivile kipindi hicho why iwe sasa? Hivi mnajua muundo wa team yenu unafanyaje kazi mpaka umlaumu Mangungo pekee?
 
MPIRA WA TANZANIA UMEJAA WATU WAJINGA - JEMEDARI

Hivi yupo mtu anafikiri kwamba Mangungu akiondoka ndio timu itacheza vizuri?. Sifikiri hivyo, ni kauli aliyoanza nayo mchambuzi na mdau wa soka nchini Jemedari Said akiongea na waandishi wa habari Novemba 09, 2023 akitoa maoni yake kuhusu kinachoendelea kwenye klabu ya Simba na kusisitiza kuwa, haya yote yanayotokea wameyataka wenyewe mashabiki wao na wao kama wadau walishaonya dhidi ya haya yanayotokea.

Jemedari ameendelea kwa kusema kuwa, wao kama wadau walishaonya lakini wanachama na mashabiki wa Simba SC walitoa majibu ambayo ameyaita ni mepesi kwamba wana furaha na kwenye timu kinachotafutwa ni furaha.

"Kwa bahati mbaya mpira wa nchi hii una watu wengi wajinga, wakati Simba wanabadilisha katiba na watu walikuwa wanawaambia kuwa mnafanya makosa, majibu yao yalikuwa mepesi tu kwamba sisi tuna furaha na kwenye mpira sisi tunataka furaha, mwacheni Dewji afanye chochote anachokitaka" alisema Jemedari

Jemedari ameongeza kuwa, inapotokea Simba ikifanya vizuri inakuwa ni ya Dewji na upande wake lakini ikifanya vibaya ni Mangungu ya Mangungu na wanachama jambo ambalo analiita ni wanachama kutumika kwa kujua au kutokujua

"Timu ikifanya vizuri ni ya Dewji na upande wake lakini ikifanya vibaya ni Mangungu na wanachama, ni aidha wanachama wanatumika na hawajui wanatumika huku wanajua" alisisitiza Jemedari na kuongeza

"Alivyomaliza Dewji katika nafasi ya mwenyekiti wa Bodi akamuachia Try again hivyo basi Try again kama ni tatizo basi tatizo kubwa ni Mohamed Dewji kwa maana yeye ndio amemweka"

Jemedari amemkingia kifua mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu kwamba yeye asilaumiwe kwa kuwa hana nguvu kikatiba na sio yeye amependa kuwa hivyo ni bali wanachama na mashabiki ndio wameamua awe hivyo.View attachment 2810768
Na yeye ni mjinga kwa vile ni mtu wa mpira pia
 
Labani og kwanini wamlaumu Mangungo pekee kwamba Mangungo akiondoka Ndio team itafanya vizuri? Ukiangalia muundo wa team ya Simba kwenye utekelezaji wa majukumu nafasi ya mwenyekiti ina nguvu gani?
 
Huy jemedar ni mmoja wapo wa hao wajinga na ni mchombezaji wa wajinga wakati wote
Leo muwe makini ma uyu mtu ana pigania maslahi yake wakati wote
Mkumbuke anajiita meneja wa wachezaji na ndie mpigaji wa pesa za usajiri
Chini ya maji anavitafuta vichezaji uchwala uko nje anamletea mngungu
Na mangungu nae anampa visenti wanamaliza mchezo, na ili kuonyesha shangwe anavipanga vichambuzi vyenzake pale efm vimaanza kuiponda yanga kuanzia usajiri mpaka kwa engineer els wa Yanga, bila sababu yoyote vinamkebei yeye pamoja na timu nzima mara vinamrukia Mdhamini mkuu wa yanga
Hii yote mashabiki wa simba leo wanaoitwa wajinga wamlesapot na kweli kwa ujinga wao wanaungana kijinga kusapoti Jemedari na wajinga wenzake wa efm
Sasa leo maji yamezidi unga na ni usiku maduka yote yamegungwa mpaka mangi kagoma kufungua duka usiku
Inabidi mnywe uji tu na mboga ikombwe
Ukubali uwe mjinga kwa Jemedari au uwe mjinga kwa mo dewji?
Kazi kwenu Washabiki wa madunduka, aka makolo
 
Anaisakama yanga mno
 
Anaisakama yanga mno
Error spelling inshara umenielewa mkuu, huyu jamaa uwa anajitahidi sana kuivuruga Yanga
Ukiona mafanikio ya simba jua Yanga ni dhaifu na uwa wanajitahidi sana kuivuruga yanga ili wao wapate mafanikio
Na hii kazi Jemedari anaiweza sana, ila safari hizi kakutana na kina engineer n wamemdhibiti haswa
 
Na yy ndio aliemvuruga Feisal akiamini yanga itavurugika na kuanza migogoro
 
Huyu jemedari atakuwa muhuni anayelipwa na wahuni wenzie pale Simba.

Mangungu tunamchukia kutokana na kitendo chake cha utapeli kuleta siasa kwenye timu.Alituletea Manzoki kupiga naye picha wakati anahitajika kucheza ili tu achaguliwe kwenye uongozi.Sasa anatuletea Manzoki wakati hachezi na hajulikani kiwango chake kwa vile tu anatuona wanachama wajinga.

Kama sio yeye,kwa nini asiseme ukweli ni upi.Yeye ndiye mwakilishi wetu,sasa kama kuna tatizo,wewe unataka tuliseme wakati hatijui huko ndani huyo mo na genge lake wanafanya maamuzi gani ya kipuuzi bila kuambiwa na mwakilishi wetu?

Kama amekwambia wewe,una bahati unaujua ukweli,sasa unathubutuje kutuita wajinga?wewe akili ungekuwa nazo ungeajiriwa na hapo ulipo?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hoja ya manzoki bora mliishangilia na kupost sana.
Tena akawatukana yanga, nyie mkafurahi na kumpogeza mangungu.
Nyie mnataka kumsaliti mangungu, wakati nguvu yake mumempora na kumpa try again
 
Sijajua kwa wengine ila alicho kifanya siku ya uchaguzi kina reflect kwamba hana mipaka, zaidi ya kutafuta umaarufu.
Point ya Jemedari ni kwamba Mangungu Ndio tatizo pekee pale Simba? Yaani akiondoka huyo Simba ndio itafanya vizuri? Ukitazama muundo wa uongozi wa Simba ya utekelezaji wa majukumu kiti cha mwenyekiti kina nguvu? Umesema alimleta manzoki kwenye mkutano na siku hiyo akashinda uchaguzi hapo mjinga ni Mangungu au wapiga kura?
 
Kwenye kura kuna waliokataa na walio kubali,siwezi kusema mashabiki wote ni wajinga, kwani wapo mashabiki wengi ambao hawakufurahishwa na alicho fanya Mangungu.

Mangungu kwangu ni mjinga japo kashinda,ila haiondoi kwamba hana strategy za mda mrefu kwa club yake na sijawahi kuona kuongozi yoyote akifanya kitu kama alichofanya Mangungu siku ya uchaguzi.

Mpira kweli ni muunganiko wa sehemu nyingi, viongozi,wachezaji,benchi la ufundi ,skauti nk ,ktk hiko kimoja kikilega kinaweza kikaimpact vitengo vyote. Kazi ipo kwa kuidentify kipi kina wasibu ila Mangungu nae ni sehemu ya tatizo.
 
Labani og kwanini wamlaumu Mangungo pekee kwamba Mangungo akiondoka Ndio team itafanya vizuri? Ukiangalia muundo wa team ya Simba kwenye utekelezaji wa majukumu nafasi ya mwenyekiti ina nguvu gani?
Hapa tuutafute ukweli kati ya mudi...... mangungu try Tena ......na kajula nani alaumiwe
 
Huy jemedar ni mmoja wapo wa hao wajinga na ni mchombezaji wa wajinga wakati wote
Leo muwe makini ma uyu mtu ana pigania maslahi yake wakati wote
Mkumbuke anajiita meneja wa wachezaji na ndie mpigaji wa pesa za usajiri
Chini ya maji anavitafuta vichezaji uchwala uko nje anamletea mngungu
Na mangungu nae anampa visenti wanamaliza mchezo, na ili kuonyesha shangwe anavipanga vichambuzi vyenzake pale efm vimaanza kuiponda yanga kuanzia usajiri mpaka kwa engineer els wa Yanga, bila sababu yoyote vinamkebei yeye pamoja na timu nzima mara vinamrukia Mdhamini mkuu wa yanga
Hii yote mashabiki wa simba leo wanaoitwa wajinga wamlesapot na kweli kwa ujinga wao wanaungana kijinga kusapoti Jemedari na wajinga wenzake wa efm
Sasa leo maji yamezidi unga na ni usiku maduka yote yamegungwa mpaka mangi kagoma kufungua duka usiku
Inabidi mnywe uji tu na mboga ikombwe
Ukubali uwe mjinga kwa Jemedari au uwe mjinga kwa mo dewji?
Kazi kwenu Washabiki wa madunduka, aka makolo
Saizi anashindwa kabisa kuiongeles yanga
 
Back
Top Bottom