MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
"Nasikitika kuona tunaacha Kupambana kwa Matokeo ya Uwanjani tuko katika Upuuzi wa Kushindanisha Jezi na Kushadadia kama zimevuja au hapana. Arsenal FC ndiyo Klabu yenye Jezi nzuri mno ila Uwanjani ina Matokeo mabovu na ya Aibu. Kama wana Habari sidhani tunapaswa Kushangilia Kuvuja kwa Jezi badala yake Sisi ndiyo tuwe wa Kwanza Kupinga Uhuni huu kwani unazikosesha sana Mapato Klabu zetu hizi", Jemedari Said Kazumari.
Chanzo: EFM Sports Headquarters
Maulid Kitenge yaani pamoja na Kuzurula Kwako kote Ulaya, UAE, South Africa na Marekani ( kwa Kufadhiliwa ) na wale Jamaa zako wenye Michezo mibaya bado tu hujaacha kuwa Uncivilized kama hivi ulivyo?