Jemedari Said amuumbua Mubashara Maulid Kitenge kwa Kushadadia Kwake Kuvuja kwa Jezi bora ya Simba SC

"Nasikitika kuona tunaacha Kupambana kwa Matokeo ya Uwanjani tuko katika Upuuzi wa Kushindanisha Jezi na Kushadadia kama zimevuja au hapana. Arsenal FC ndiyo Klabu yenye Jezi nzuri mno ila Uwanjani ina Matokeo mabovu na ya Aibu. Kama wana Habari sidhani tunapaswa Kushangilia Kuvuja kwa Jezi badala yake Sisi ndiyo tuwe wa Kwanza Kupinga Uhuni huu kwani unazikosesha sana Mapato Klabu zetu hizi", Jemedari Said Kazumari.

Chanzo: EFM Sports Headquarters

Maulid Kitenge yaani pamoja na Kuzurula Kwako kote Ulaya, UAE, South Africa na Marekani ( kwa Kufadhiliwa ) na wale Jamaa zako wenye Michezo mibaya bado tu hujaacha kuwa Uncivilized kama hivi ulivyo?
Jemedari Said nae ni mwanahabari na mwandishi wa habari. Cc Zomboko, Mbwiga, swebe na wengine. Jumlisha huyo Kitenge sio mwandishi wa habari.
 
Tangu li
"Nasikitika kuona tunaacha Kupambana kwa Matokeo ya Uwanjani tuko katika Upuuzi wa Kushindanisha Jezi na Kushadadia kama zimevuja au hapana. Arsenal FC ndiyo Klabu yenye Jezi nzuri mno ila Uwanjani ina Matokeo mabovu na ya Aibu. Kama wana Habari sidhani tunapaswa Kushangilia Kuvuja kwa Jezi badala yake Sisi ndiyo tuwe wa Kwanza Kupinga Uhuni huu kwani unazikosesha sana Mapato Klabu zetu hizi", Jemedari Said Kazumari.

Chanzo: EFM Sports Headquarters

Maulid Kitenge yaani pamoja na Kuzurula Kwako kote Ulaya, UAE, South Africa na Marekani ( kwa Kufadhiliwa ) na wale Jamaa zako wenye Michezo mibaya bado tu hujaacha kuwa Uncivilized kama hivi ulivyo?
Tangu lini huyo Jemadari akawa mwandishi wa habari?! Amesoma chuo kipi Cha uandishi wa habari?
 
"Nasikitika kuona tunaacha Kupambana kwa Matokeo ya Uwanjani tuko katika Upuuzi wa Kushindanisha Jezi na Kushadadia kama zimevuja au hapana. Arsenal FC ndiyo Klabu yenye Jezi nzuri mno ila Uwanjani ina Matokeo mabovu na ya Aibu. Kama wana Habari sidhani tunapaswa Kushangilia Kuvuja kwa Jezi badala yake Sisi ndiyo tuwe wa Kwanza Kupinga Uhuni huu kwani unazikosesha sana Mapato Klabu zetu hizi", Jemedari Said Kazumari.

Chanzo: EFM Sports Headquarters

Maulid Kitenge yaani pamoja na Kuzurula Kwako kote Ulaya, UAE, South Africa na Marekani ( kwa Kufadhiliwa ) na wale Jamaa zako wenye Michezo mibaya bado tu hujaacha kuwa Uncivilized kama hivi ulivyo?

Screenshot_20210903-191420_WhatsApp~2.jpg

Muddy kawajibu.
 
Back
Top Bottom