MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
For Uncivilized Moron like Maulid Kitenge is an Issue.Msambazaji ni Vunja Bei. Mzigo ulishasambazwa mapema wiki hii kwenye maduka yote ya vunja bei nchi nzima, hivyo jezi kuonekana madukani wala sio inshu.
Wakiongozwa na Mshamba Mwenzao Mwandamizi Mtangazaji anayesafiri Ulaya na Marekani kila mara ila Kiingereza bado kinampiga Chenga ( hakijui ) Maulid Kitenge.Yanga ni washamba sana, jezi za Simba kuvuja kwao ni issue.
Ushabiki mbaya kwa hiyo Simba kuvuja kwa jezi sio issues, halafu utawasikia "tunataka kuiendesha club yetu kibiashara.......",sasa hiyo biashara itakuwa ya aina gani wakati kuna wajanja wanatengeneza copy na kuziingiza mtaani.Yanga ni washamba sana, jezi za Simba kuvuja kwao ni issue.
Jemedari Said Kazumari ni mwana Yanga SC tena lia lia kama alivyo Mtangazaji Maulid Kitenge je, umeshajiuliza ni kwanini aliamua kumtolea Uvivu na Kumuumbua hivyo?hebu Simba punguzeni jazba, haya yote ni matokeo ya utani wa jadi wala hatuko serious.
Wewe Jezi mpya za Yanga SC zenye Vikaragosi vingi akina GSM wamewalipa Yanga SC kiasi chochote?Ushabiki mbaya kwa hiyo Simba kuvuja kwa jezi sio issues, halafu utawasikia "tunataka kuiendesha club yetu kibiashara.......",sasa hiyo biashara itakuwa ya aina gani wakati kuna wajanja wanatengeneza copy na kuziingiza mtaani.
hana haja ya yeye kutanuka pua kwenye swala la utani wa jadi.Jemedari Said Kazumari ni mwana Yanga SC tena lia lia kama alivyo Mtangazaji Maulid Kitenge je, umeshajiuliza ni kwanini aliamua kumtolea Uvivu na Kumuumbua hivyo?
Kuna mahala nimeandika "unciviled" kama ulivyoandika hapa Wewe?"Unciviled"mfafanulie kwa kiswahili huenda asieelewe ukampa kazi ya kuingia kwenye kamusi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo avumilie Upumbavu wa Kitenge?hana haja ya yeye kutanuka pua kwenye swala la utani wa jadi.
avumilie utani wa kitenge.Kwahiyo avumilie Upumbavu wa Kitenge?
swala hapa ni tambala zetu hizo popoma usihamishe magoli kwa jamaaWewe Jezi mpya za Yanga SC zenye Vikaragosi vingi akina GSM wamewalipa Yanga SC kiasi chochote?
au unataka nije sasa hivi na Taarifa ya Siri ambayo inafichwa ya GSM ( na siyo Yanga SC ) kutaka kuchukua Mapato ya 85% kwa Kiingilio cha Siku ya Wananchi na kwamba katika kila Mauzo ya Jezi mpya za Yanga zinazouzwa Tsh 35,000/= Klabu ya Yanga itaambulia tu Tsh 1,700/= na Tsh 33,300/= inabaki kwa GSM kama Faida?
Uko tayari nije na huo Uzi ili mshangae?
kurusha ngumi kwa wenzio unapenda ila hamtaki kurudishiwaKwahiyo avumilie Upumbavu wa Kitenge?
Mtangazaji Mshamba, Mnafiki na Mpumbavu Maulid Kitenge Yeye hii Kwake ilikuwa ni Habari Kuu kiliko hata Matokeo ya Kuridhisha kwa Timu yetu ya Taifa ( Taifa Stars ) wa Jana.Kuvuja Kwa jezi ni jambo la kawaida kabisa
almost every big club duniani inawakumba
timu ndogo ndio wanaweza kuficha because hakuna interests