Jemedari Said anajua vizuri lugha ya kiingereza, Haji Manara punguza chuki binafsi

Jemedari Said anajua vizuri lugha ya kiingereza, Haji Manara punguza chuki binafsi

hii vita ya Haji na binkazumari itaishia kwa Haji kulalamika ananyanyapaliwa kwa ulemavu wake,Haji anajulikana mwepesi sana wa kuwasema wenzie walivyoumbwa ila yeye akipigwa moja tu anataka aonewe huruma na nchi nzima.
 
Spana ziendelee kwa zeruzeru hadi ajifunze kuheshimu wengine
 
hii vita ya Haji na binkazumari itaishia kwa Haji kulalamika ananyanyapaliwa kwa ulemavu wake,Haji anajulikana mwepesi sana wa kuwasema wenzie walivyoumbwa ila yeye akipigwa moja tu anataka aonewe huruma na nchi nzima.
Kuna sehemu yoyote Haji katika iyo picha amezungumzia maumbile!!
 
Kuna sehemu yoyote Haji katika iyo picha amezungumzia maumbile!!
Zipo picha zake za zamani kavaa kanzu imechoka anakula wali kwenye sinia huku nzi wamemzunguka,watu wanatuma kwenye akaunti zake analalamika anadhalilishwa,ila akifanya yeye adhalilishi wenzie.
 
Jemedari yupo pale kuichafua Yanga,na hakuna namna huyo Kazumari inabidi achafuliwe yeye mwenyewe.........na kazi hiyo anaachiwa Haji Manara

Hakuna cha kumuonea huruma mtu
Manara is here to stay
Wenye akili ni WAWILI tu pale YANGA!
 
Zipo picha zake za zamani kavaa kanzu imechoka anakula wali kwenye sinia huku nzi wamemzunguka,watu wanatuma kwenye akaunti zake analalamika anadhalilishwa,ila akifanya yeye adhalilishi wenzie.
 
Attachments

  • FB_IMG_1639067026754.jpg
    FB_IMG_1639067026754.jpg
    13.9 KB · Views: 7
  • JamiiForums289186523.jpeg
    JamiiForums289186523.jpeg
    127.8 KB · Views: 8
  • IMG-20210908-WA0004.jpg
    IMG-20210908-WA0004.jpg
    32.3 KB · Views: 8
  • JamiiForums-1748518016.jpeg
    JamiiForums-1748518016.jpeg
    8.9 KB · Views: 9
Haji Manara ameishiwa hoja, amesikika akimponda Bin Kazumari kuwa hajui kuongea lugha ya kiingereza, hivyo hawezi kuwa wakala wa mchezaji Farid Mussa, anasema wakala lazima ajue kimombo, akamsifia sana Oscar Oscar kuwa anajua kimombo vizuri na ndio maana anasafiri mara kwa mara nchini Marekani.

Manara amesafiri sana na Simba akiwa nje ya nchi, lini aliwahi kuonekana ama kusikika akiongea lugha hiyo zaidi ya kupiga nao picha, siku moja afanye conference kwa lugha ya kiingereza ili watu wamsikilize akijiuma uma meno, huyo Oscar anayemsifia lini aliwahi kuongea lugha hiyo, kwenda Marekani sio hoja, huyo Kitenge anashinda huko Ulaya lakini hajawahi kusikika akiongea hata siku moja, wachambuzi wanaomwaga ngeli na wanajulikana tumewaona ni Geoffrey Lea, Ibrahim Masoud, Shaffih Dauda, Edgar Kibwana, sio wewe popoma Manara, wala Kitenge wala Oscar.
Haji Manara ninayemjua Mimi Kiingereza chake anachokijua ni cha 30% tu ila cha Mchambuzi Jemedari Said Kazumari nimjuaye Mimi chake ni cha 75% na hata Wawili hawa tukisema tuwapapambanishe Kukizungumza Haji Manara atatafuta mahala kwa Kukimbilia kwani najua atamshindwa tu Jemedari Said Kazumari.
 
Manara ana kiingereza cha kudokoa dokoa
Haji Manara ninayemjua Mimi Kiingereza chake anachokijua ni cha 30% tu ila cha Mchambuzi Jemedari Said Kazumari nimjuaye Mimi chake ni cha 75% na hata Wawili hawa tukisema tuwapapambanishe Kukizungumza Haji Manara atatafuta mahala kwa Kukimbilia kwani najua atamshindwa tu Jemedari Said Kazumari.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii sasa lol
 
Huyu Takadini anawaokota watu walio na silka ya kiume, ndo anaonekana yeye anajua kuropoka, mbna hawachokozi wenye hulka ya kike ili wamsuuze vizuri, km kweli yeye ni konkiii wa michambo.

Akiguswaga kidogo tyuuh anakimbilia kulalama kisa yeye ni Sope mxxieeew, wacha apaparike siku atayavagaa kwa vidampa wenzie atajua hajui, nyokooooh.
 
Manara kampiga majungu na kebehi jemedari tena kwa udhalilishaji mkubwa akimsema jemedari kuwa mchafu hapendi kuoga

Lakini mtakumbuka kuwa ameandika hayo muda mfupi uliopita baada ya kulalamika kuhusu tabia ya wabongo kumsema kupitia ulemavu wake.

Hapo ndio nakumbuka maneno ya jemedari aliyojibu malalamiko ya manara

Kuwa ni kweli tabia hiyo sio nzuri na haifai kuigwa ila manara una leta double standards maana hata wewe umekuwa ukiwaponda wengine kwa mapungufu yao.

Ulishawahi kumuita mwakalebela ana kilo 800, ile ni weakness yake naye hapendi kama ambavyo wewe usivyopenda kuona mtu ana kashifu albinism yako.
Nyinyi simba ndiyo mlio mfundisha huyu mbwiga hii tabia mbaya ya kusema watu wengine kwa maneno ya kejeli, dharau na dhihaka!
Hivyo ni wakati wenu sasa wa kuvumilia maumivu. Hatutaki kuwaona mkilia lia humu na huyo Kazumari wenu.
 
Nyinyi simba mdiyo mlio mfundisha huyu mbwiga hii tabia mbaya ya kusema watu wengine kwa maneno ya kejeli, dharau na dhihaka!
Hivyo ni wakati wenu sasa wa kuvumilia maumivu. Hatutaki kuwaona mkilia lia humu na huyo Kazumari wenu.
Sisi hatuna shida na mdomo wa lastic ila jua tu ukizingua usituchagulie silaha

Tutatumia kila aina ya fedhea ambayo tunaona itakuuma
 
Back
Top Bottom