msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Kwahiyo huo ndo uchambuzi wa mpira mkuu,Sijaona kosa la jemedari hapo, kaeleza ukweli kuwa goli la champions league lina thamani mno huwezi kulinganisha na magoli yanayofungwa kwenye kombe la losers,, nashangaa mapovu yamekua mengi