Jemedari Said, kielelezo halisi cha wachambuzi wa mchongo

Jemedari Said, kielelezo halisi cha wachambuzi wa mchongo

Sijaona kosa la jemedari hapo, kaeleza ukweli kuwa goli la champions league lina thamani mno huwezi kulinganisha na magoli yanayofungwa kwenye kombe la losers,, nashangaa mapovu yamekua mengi
Kwahiyo huo ndo uchambuzi wa mpira mkuu,
 
Kuna uchambuzi na maoni binafsi, yupo sahihi kwa mtazamo wake.
Yuko sawa ndio mkuu lakini, nadhani Leo la mtoa pesa ni kuhamasisha timu hizi zifike mbali na hajatoa pesa Kama zawadi kwa washiriki.
 
Ukimsikiliza anapozungumza utajua kabisa mpira wetu una safari ndefu sana ya mafanikio. Huyu ni kielelezo halisi cha watu waliopo kwenye tasnia ya habari wanavyotumia nafasi zao kwa ajili ya kupitisha ajenda zao chafu, ni either wanalipwa au kwa makusudi kabisaa wanaamua kuchafua mpira wetu.
Sijui kama una utani nae lakini Sisi tunaomfutilia tunaziona points zake. Ungemjibu Kwa facts labda ningekuona una mashiko. Otherwise huu ni udaku tu.
 
Ukimsikiliza anapozungumza utajua kabisa mpira wetu una safari ndefu sana ya mafanikio. Huyu ni kielelezo halisi cha watu waliopo kwenye tasnia ya habari wanavyotumia nafasi zao kwa ajili ya kupitisha ajenda zao chafu, ni either wanalipwa au kwa makusudi kabisaa wanaamua kuchafua mpira wetu.
Kwangu mie naona Edo, Mutwalib na wengine wako EFM na wasafi na shaffii hao ukweli ni bure kbs
 
Mbona jamaa anatoa fact sana? Mimi huwa simpendi sababu hiyo. Huwa hajui kuremba yeye anaongea ukweli tu ulivyo na waswahili hatupendi hilo.
Ikitokea tukafanya mashindano ya vijitu vijinga kabisa hapa duniani, hicjo kijamaa kinaweza kuchukua ushindi saa 2 tu asubuhi.
 
Yaani huyu Jemedari Said Kazumari mbwiga wa mbwiga kabisa, ovyo kabisa na ujuaji juu.
 
Back
Top Bottom