Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Hiki kichwa panzi hakuna anachojua zaidi ya kujitahidi kutoficha mahaba yake ya wazi kwa makolo. Imepelekea hata anachoandika haaminiki zaidi wengi tutajua mlengo wake ni upi. Nadhani ajirekebishe kwanza kwa kutokua bias kwenye maoni yake baada ya hapo ndio tutamsikiliza.BIN KAZUMARI MTIPA (The voice of the voiceless)
Ukiwa mwiko nyuma huwezi ona ukweli,unakuwa blindHiki kichwa panzi hakuna anachojua zaidi ya kujitahidi kutoficha mahaba yake ya wazi kwa makolo. Imepelekea hata anachoandika haaminiki zaidi wengi tutajua mlengo wake ni upi. Nadhani ajirekebishe kwanza kwa kutokua bias kwenye maoni yake baada ya hapo ndio tutamsikiliza.
Otherwise atabaki kuwa kichwa panzi tu.
Hili swali linajibiwa Kwa ukali Sana sijui Kwa nini.! Hebu mmoja aseme mpira Kati ya dakika ya 90 na 90+6 ulisimama dakika ngapi na Kwa tukio lipi?View attachment 2868183
Soma chronometer hiyo. Dakika za ziada zaidi ya NNE nje ya SITA zilizotolewa, ziliongezwa na matukio gani?
Alafu huyo mmoja asiposema ndio SIMBA SC hawatacheza fainali?Hili swali linajibiwa Kwa ukali Sana sijui Kwa nini.! Hebu mmoja aseme mpira Kati ya dakika ya 90 na 90+6 ulisimama dakika ngapi na Kwa tukio lipi?
Wengine tulishaacha muda kumfuatilia huyo mmakondeSi huyu jemedari makipa waliokua wanafungwa na Aziz Ki magoli ya faulo alikua anasema ni wazembe! Inamaana hakujua kuwa mpira ni mchezo wa makosa?
Chambuzi la mchongo....Jemedari kila kitu lazima akitolee ufafanuzi, kwamba yeye anajua kila kitu