Jemedari Said: Mpira ni mchezo wa makosa

Jemedari Said: Mpira ni mchezo wa makosa

BIN KAZUMARI MTIPA (The voice of the voiceless)
Hiki kichwa panzi hakuna anachojua zaidi ya kujitahidi kutoficha mahaba yake ya wazi kwa makolo. Imepelekea hata anachoandika haaminiki zaidi wengi tutajua mlengo wake ni upi. Nadhani ajirekebishe kwanza kwa kutokua bias kwenye maoni yake baada ya hapo ndio tutamsikiliza.

Otherwise atabaki kuwa kichwa panzi tu.
 
Ukiwa mwiko nyuma huwezi ona ukweli,unakuwa blind
 
Hili swali linajibiwa Kwa ukali Sana sijui Kwa nini.! Hebu mmoja aseme mpira Kati ya dakika ya 90 na 90+6 ulisimama dakika ngapi na Kwa tukio lipi?
Alafu huyo mmoja asiposema ndio SIMBA SC hawatacheza fainali?

Kwenda zako kule....[emoji23][emoji23]
 
Si huyu jemedari makipa waliokua wanafungwa na Aziz Ki magoli ya faulo alikua anasema ni wazembe! Inamaana hakujua kuwa mpira ni mchezo wa makosa?
Wengine tulishaacha muda kumfuatilia huyo mmakonde
 
Back
Top Bottom