Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Kwa mitizamo kama hii kwenye michezo ni hatari sana kwa afya yako na taifa!!ndio maana kila siku mnafukuza makocha mkidhania ndio chanzo cha timu zenu(club/taifa)kumbe wachawi ni nyie.na hapo ndipo kunaonyesha kuwa wewe ni shabiki wa mpira na sio mpenzi wa soka!!kwa sasa barca ni under dog kwa buyern munich.Simba hafungwi ndugu yangu utapasua hizo ashua bure tu kwa kuzibana.
Umeni quote ila sijaona point yako kuhusiana na comment yangu it's like umem quote the wrong person.Kwa mitizamo kama hii kwenye michezo ni hatari sana kwa afya yako na taifa!!ndio maana kila siku mnafukuza makocha mkidhania ndio chanzo cha timu zenu(club/taifa)kumbe wachawi ni nyie.na hapo ndipo kunaonyesha kuwa wewe ni shabiki wa mpira na sio mpenzi wa soka!!kwa sasa barca ni under dog kwa buyern munich,
Khamsa
TanoMaana yake ni nini vile?
Tano
Hahaha yule yule anapiga mara zote!!Kwahyo atapigwa nani?
Ndiyo msimu wao huu umeshawadia! Utawasikia Waarabu wa Misri; Khamsa khamsa! Allah Akbar!! Wabillah Tawfiq! Asalalleh mbumbumbu wa Tanzanie!!!Khamsa
Dua la nyani halimpati SimbaKuelekea mchezo wa klabu bingwa afrika kati ya AS Vita vs Simba, mchambuzi wa michezo wa Efm, Jemedari Said akiongea asubuhi hii kwenye kipindi cha Sports Headquarters amesema Simba ni underdogs!
Amesema, Simba itaingia mechi ya kesho kama underdogs, hivyo AS Vita wana nafasi zaidi ya kuibuka na ushindi, japo amekiri Simba hii ni nzuri kuliko Simba ile ya wakati ule ilipofungwa 5-0.
"Nitawashangaa sana Simba kama wataruhusu kufungwa goli kuanzia 3 kwakuwa As Vita imeuza wachezaji wake wengi waloikuwa tegemeo" aliongeza Jemedari Said.
Nitumie nafasi kuwatakia As Vita ushindi kwenye mechi ya kesho dhidi ya underdog Simba!
.Ndiyo msimu wao huu umeshawadia! Utawasikia Waarabu wa Misri; Khamsa khamsa! Allah Akbar!! Wabillah Tawfiq! Asalalleh mbumbumbu wa Tanzanie!!!
Kesho ma andadog yakipigwa chache ni nne