Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Kuelekea mchezo wa klabu bingwa afrika kati ya AS Vita vs Simba, mchambuzi wa michezo wa Efm, Jemedari Said akiongea asubuhi hii kwenye kipindi cha Sports Headquarters amesema Simba ni underdogs!
Amesema, Simba itaingia mechi ya kesho kama underdogs, hivyo AS Vita wana nafasi zaidi ya kuibuka na ushindi, japo amekiri Simba hii ni nzuri kuliko Simba ile ya wakati ule ilipofungwa 5-0.
"Nitawashangaa sana Simba kama wataruhusu kufungwa goli kuanzia 3 kwakuwa As Vita imeuza wachezaji wake wengi waloikuwa tegemeo" aliongeza Jemedari Said.
Nitumie nafasi kuwatakia As Vita ushindi kwenye mechi ya kesho dhidi ya underdog Simba!