Jemedari Said: Simba ni underdogs

Mkuu njoo huku utoe ushuhuda kati ya mitazamo yetu na yako ipi ni hatari kwa afya na taifa.
Halafu uje ueleze kati ya sisi na wewe nani shabiki wa mpira na nani mpenzi wa soka.
Kama ukishindwa kuthibitisha tunaomba ufute kauli zako kwa maslahi ya vizazi vijavyo maana hizi thread zinaishi.
 

Kwenu studio za mikocheni kwa kumalizia...
 
Huyo ni m.s.e.geeee ACHANA NAYE
 
Naomba uongezee nyama comment hii kuanzia match ya Al Ahly mpaka ya leo [emoji2][emoji2][emoji2][emoji28]
 
Jemedari Ni wa utopolo. Ni aibu kwa mchambuzi kuegemea upande mmoja
 
Mkuu Kwenye Nyuzi za Basketball (NBA) sikuoni Kabisa Hata BAK Mag3 mmepotea Sana Kulikoni na leo Kuna Mechi Kali Sana Ya Los Angeles Clippers v. Los Angeles Lakers, Itapigwa Leo Saa4 Usiku kwa Saa Za Tz.. atumwi Mwana Dukani

Nitakuja huko mkuu, ahsante kwa kunikumbusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…