Jemedari Said: Simba ni underdogs

Jemedari Said: Simba ni underdogs

Kwa mitizamo kama hii kwenye michezo ni hatari sana kwa afya yako na taifa!!ndio maana kila siku mnafukuza makocha mkidhania ndio chanzo cha timu zenu(club/taifa)kumbe wachawi ni nyie.na hapo ndipo kunaonyesha kuwa wewe ni shabiki wa mpira na sio mpenzi wa soka!!kwa sasa barca ni under dog kwa buyern munich.
Mkuu njoo huku utoe ushuhuda kati ya mitazamo yetu na yako ipi ni hatari kwa afya na taifa.
Halafu uje ueleze kati ya sisi na wewe nani shabiki wa mpira na nani mpenzi wa soka.
Kama ukishindwa kuthibitisha tunaomba ufute kauli zako kwa maslahi ya vizazi vijavyo maana hizi thread zinaishi.
 
Kuelekea mchezo wa klabu bingwa afrika kati ya AS Vita vs Simba, mchambuzi wa michezo wa Efm, Jemedari Said akiongea asubuhi hii kwenye kipindi cha Sports Headquarters amesema Simba ni underdogs!

Amesema, Simba itaingia mechi ya kesho kama underdogs, hivyo AS Vita wana nafasi zaidi ya kuibuka na ushindi, japo amekiri Simba hii ni nzuri kuliko Simba ile ya wakati ule ilipofungwa 5-0.

"Nitawashangaa sana Simba kama wataruhusu kufungwa goli kuanzia 3 kwakuwa As Vita imeuza wachezaji wake wengi waloikuwa tegemeo" aliongeza Jemedari Said.

Nitumie nafasi kuwatakia As Vita ushindi kwenye mechi ya kesho dhidi ya underdog Simba!

Kwenu studio za mikocheni kwa kumalizia...
 
Huyo ni m.s.e.geeee ACHANA NAYE
 
Na Leo njoo uwapongeze baada ya mechi!! Pole Sana Renzo bin Leak & Jemedari!! Leo utakimbia nyuzi zako zote!! Asante kwa kuwatakia ushindi As Vita!!! Tatizo lako ni mwepedi wa kula Kona!!! Na hapa nakuwekea hii hapa, utaikuta machozi yatakapokauka machoni pako:
Dhidi ya Mbabane Dar kabla ya mechi
Leo mnapigwa hapa hapa nyumbani
Baada ya mechi
Simba 4
Mbabane 1
Mnaenda kufa kwao

Marudiano kwao
Mbabane 0
Simba 4
Mmekutana na vibonde hapo ndio mwisho wenu

Dhidi ya Nkana Dar
Mlikufa 2-1 kwao leo mnakufa tena safari ishaisha hiyo
Baada ya mechi
Simba 3
Nkana 1
Kimyaaaaaa [emoji1787]

Makundi
Al Ahly
Simba
As Vita
Js Saoura
Waarabu wawili na m-Congo mmoja hapo Simba anashika mkia na yule jamaa ndio akapigilia msumari kabisa kwa kutuita Under Dog wa kundi

Dar Simba dhidi ya Js Saoura
Waarabu wamekuja kuwapiga hapa hapa nymbn
Baada ya mechi
Simba 3
Saoura 0
Hawa sio waarabu ni wapemba ngoja waje Ahly [emoji1787]

Simba dhidi ya Ahly Dar (kabla)
Sasa leo ndio wamekuja waarabu wenyewe Taifa linaingia ktk aibu nyingine Cairo hamsa na leo hamsa tena
Ramadan Subhi wamemchukua kwa mkopo wa paun billion 10 thamani yake kikosi kizima cha Simba hakifikii thamani hiyo
Baada ya mechi
Simba 1
Ahly 0
Mmebahatisha tu lkn hampiti shughuli mtaiona ktk mechi ya mwisho dhidi ya As Vita hamsa zingine hapa hapa

Simba dhidi ya As Vita Dar
Leo sasa ndio mwisho wa safari mnakufa tena nyingi
Baada ya mechi
Simba 2
As Vita 1
Hamna lolote nyie mnawapulizia dawa wapinzani ndio mnashinda [emoji1787]
Yani kutoa hongera kwao imekua ngumu sana wanageuka vinyonga kila leo kwa kauli zao

Dhidi ya Plateau (Nigeria)
Kabla ya mechi leo Taifa linaingia kwenye aibu kubwa mnaenda kufa nyingi jamaa kila game wanashinda tano tano Enyimba kafa 5 na wengine kibao ni hamsa au 4G
Baada ya mechi
Plateau 0
Simba 1
Wanakuja kupindua matokeo Dar

Leo sasa mnakufa hapa hapa (kabla)
Baada ya mechi Dar
Simba 0
Plateau 0
Mmeshindwa kuwafunga kwenu hata hao wabovu ngoja muone Platinum

Dhidi ya Platinum Bulawayo,Zimbabwe.
Mnakufa nyingi leo
Platinum 1
Simba 0
Chikwende,Chikwende..na kelele kibao na huo ndio mwisho wa safari mnakufa tena Dar

Mechi ya marudiano Dar
Kabla ya mechi
Chikwende leo atakuepo tena
Kwa beki zenu hizo wazee Wawa na Onyango hapo Chikwende na wenzake wanakuja kufanya mauaji tena
Baada ya mechi
Simba 4
Platinum 1
Simba hawashindi mpk mapaka [emoji1787]
Hongera ni ngumu sana kutoa na maneno kila siku yanabadilika

Makundi
Al Ahly
Simba
As Vita
El Merreck
Daaah aibu imerudi tena kwa Taifa zile hamsa hamsa zinarudi tena

As Vita dhidi ya Simba (Congo)
Leo ndio zile hamsa zinajirudia aibu kwa Taifa kila baada ya dkk kadhaa goli,As Vita hatari sana kwao,mara watapakiwa mkongo n.k
Baada ya mechi
As Vita 0
Simba 1
Sasa hivi As Vita hamna timu wameuza sana wachezaji wao [emoji1787]

Hivi ndivyo ambavyo kila siku maneno yanabadilika wanakua vinyonga na wepesi kukana maneno yao ya awali

Simba mnawatesa sana watani mana sio wapinzani,kila wakichagua waume nyie mnaua wanatafuta mwingine mnaua wanapata sana shida hawa wajane

Na nyie wajane fc mjifunze kutoa hongera hata mara moja moja mtabadilisha mabwana mpk lini? mafanikio ya Simba ni mafanikio ya Taifa pia sbb tunawabeba nyie mwende kutembea na kurudi lkn hamna shukrani aibu yenu wenyewe

Tuliwakera sana 2018/19
Msimu huu 2020/21 kero zitaongezeka sbb hatuna nyumbani wala ugenini pagumu kwetu ni Cairo tu na tunauhakika wa kuvuka na kucheza hatua ijayo

Kila siku vitu vizuri tunafanya sisi,wanaume ni sisi,watu wa historia nzuri ni sisi,watu wa ushindi ni sisi,watu wa kulitangaza taifa ni sisi,watu wa kuleta heshima kwa Taifa ni sisi ila watu wa kuharibu ni nyie,watu wa kutia aibu ni nyie,watu wa kushindwa ni nyie,watu wa kuumia (maumivu) kila siku ni nyie,watu wa wivu ni nyinyi yani mnateseka sana..
Kabla ya mechi: Nawatakia ushindi As Vita, baada ya mechi: Simba 1 Vita 0, Kisha unaukimbia uzi wako mwenyewe! Pole!

Poleni sana

Simba Nguvu Moja

TUNAWAKERA EEE!!
Naomba uongezee nyama comment hii kuanzia match ya Al Ahly mpaka ya leo [emoji2][emoji2][emoji2][emoji28]
 
Kuelekea mchezo wa klabu bingwa afrika kati ya AS Vita vs Simba, mchambuzi wa michezo wa Efm, Jemedari Said akiongea asubuhi hii kwenye kipindi cha Sports Headquarters amesema Simba ni underdogs!

Amesema, Simba itaingia mechi ya kesho kama underdogs, hivyo AS Vita wana nafasi zaidi ya kuibuka na ushindi, japo amekiri Simba hii ni nzuri kuliko Simba ile ya wakati ule ilipofungwa 5-0.

"Nitawashangaa sana Simba kama wataruhusu kufungwa goli kuanzia 3 kwakuwa As Vita imeuza wachezaji wake wengi waloikuwa tegemeo" aliongeza Jemedari Said.

Nitumie nafasi kuwatakia As Vita ushindi kwenye mechi ya kesho dhidi ya underdog Simba!
Jemedari Ni wa utopolo. Ni aibu kwa mchambuzi kuegemea upande mmoja
 
Mkuu Kwenye Nyuzi za Basketball (NBA) sikuoni Kabisa Hata BAK Mag3 mmepotea Sana Kulikoni na leo Kuna Mechi Kali Sana Ya Los Angeles Clippers v. Los Angeles Lakers, Itapigwa Leo Saa4 Usiku kwa Saa Za Tz.. atumwi Mwana Dukani

Nitakuja huko mkuu, ahsante kwa kunikumbusha
 
Back
Top Bottom