Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndiyo msimu wao huu umeshawadia! Utawasikia Waarabu wa Misri; Khamsa khamsa! Allah Akbar!! Wabillah Tawfiq! Asalalleh mbumbumbu wa Tanzanie!!!
Inafahamika, kama hamjajipanga msilete ExcuseMpira una matokeo 3
Khamsa
Tano
Dooh!! Binamu nakusabahi. 😅😅😅Hahaha yule yule anapiga mara zote!!
Wewe unachoweza ni hiki tuKesho ma andadog yakipigwa chache ni nne
Wewe leta jeuri ila kaa ukijua umeshalambiwa VUMBI LA CONGO ni suala la muda tu juzi juzi almanusura ulambishwe koni ukatoa sare sasa leo jiandaeKama Simba iliyofika hatua ngumu ya makundi ni under dog wale Vidimbwi f.c watakua nani?
Kama manara anavyotafuta kick na kukidhi mahitaji yake na familia yake kila muda anaizungumzia YangaHuyu anatafuta umaarufu tu wote walioingiaa hii michuano sio wageni anasema ili mradi waanze kumjadili
Ukifika alipofika Simba ntajua kama kweli wewe ni mwamke wa shoka.Wewe leta jeuri ila kaa ukijua umeshalambiwa VUMBI LA CONGO ni suala la muda tu juzi juzi almanusura ulambishwe koni ukatoa sare sasa leo jiandae
Masa'a elkheyri mpendwa... waonaje hali yako?Dooh!! Binamu nakusabahi. 😅😅😅
Haya sasa...matokeo tayari🤣🤣Kuelekea mchezo wa klabu bingwa afrika kati ya AS Vita vs Simba, mchambuzi wa michezo wa Efm, Jemedari Said akiongea asubuhi hii kwenye kipindi cha Sports Headquarters amesema Simba ni underdogs!
Amesema, Simba itaingia mechi ya kesho kama underdogs, hivyo AS Vita wana nafasi zaidi ya kuibuka na ushindi, japo amekiri Simba hii ni nzuri kuliko Simba ile ya wakati ule ilipofungwa 5-0.
"Nitawashangaa sana Simba kama wataruhusu kufungwa goli kuanzia 3 kwakuwa As Vita imeuza wachezaji wake wengi waloikuwa tegemeo" aliongeza Jemedari Said.
Nitumie nafasi kuwatakia As Vita ushindi kwenye mechi ya kesho dhidi ya underdog Simba!
Nani huyo anatafuta umaarufu kupitia simbaKuelekea mchezo wa klabu bingwa afrika kati ya AS Vita vs Simba, mchambuzi wa michezo wa Efm, Jemedari Said akiongea asubuhi hii kwenye kipindi cha Sports Headquarters amesema Simba ni underdogs!
Amesema, Simba itaingia mechi ya kesho kama underdogs, hivyo AS Vita wana nafasi zaidi ya kuibuka na ushindi, japo amekiri Simba hii ni nzuri kuliko Simba ile ya wakati ule ilipofungwa 5-0.
"Nitawashangaa sana Simba kama wataruhusu kufungwa goli kuanzia 3 kwakuwa As Vita imeuza wachezaji wake wengi waloikuwa tegemeo" aliongeza Jemedari Said.
Nitumie nafasi kuwatakia As Vita ushindi kwenye mechi ya kesho dhidi ya underdog Simba!
[emoji122][emoji122]Underdog watagawa kipigo cha mbwa koko soon
Unasemaje we utoKama iddy nado alikuwa anawachekecha kiasi kile, Basi kesho litakufa jitu