GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Kwa raundi hii na kwa kanuni za CAF ni kwamba, zile timu zote kubwa zinaanzia ugenini ila zile dhaifu na zinazodemadema zinaanzia nyumbani", amesema Jemedari Said Kazumari EFM Sports Headquarters.
Ninachompendea mchambuzi huyu mahiri kwa sasa Tanzania nzima Jemedari Said Kazumari wa EFM na TvE ni kwamba, huwa hakwepeshi na anapiga mule mule Ikulu tu bila ya kujali kuwa kwa asili yeye ni mwana Yanga SC lia lia.
Haya hebu njooni sasa mumpinge!