Jemedari Said: Simba SC ni timu kubwa ndiyo maana inaanzia ugenini na Yanga SC ni dhaifu inaanzia nyumbani

Jemedari Said: Simba SC ni timu kubwa ndiyo maana inaanzia ugenini na Yanga SC ni dhaifu inaanzia nyumbani

Kwa hilo hakuna ubishi, yupo sahihi
Msome huyo kanzuchafu alicho tweet kuhusu yanga .
IMG_20221003_134539_755.jpg
Duniani hapa ogopa sana teknolojia . kila unachokiongea kinahifadhiwa .
 
Ukubwa wa Simba ni wa mchongo, ndio maana uwa anaanzia ugenini na anakuja kutolewa kwenye mashindano Nyumbani mfano Juenang galaxy, Kaizer Chief, Libolo fc n.k Timu zenye uhalisia katika ukubwa wao ambao si za mchongo siku zote shughuli uwa Zina maliza Nyumbani.

Yanga ndio mkubwa kwakua anamtandika Simba muda na wakati wowote na Mataji anayabeba,Uzuri wa ukubwa huitaji kujitutumua ni Mataji tu yanaongea.
Mkubwa anatandikwa 5_0
 
Si kumfunga Simba tu, Yanga Ndiye mmbabe wa timu zote nchini ila raha ya Yanga, kumfunga Simba mara nyingi kuliko timu yoyote nchini, Simba ambayo inajitutumua ionekane kubwa kumbe ni kibonde wa kutupwa.
Simba ni mbabe ana vikombe 52 overall kama nyie Yanga mnahesabu ligi kuu tuu basi hamna akili kweli.
 
"Kwa raundi hii na kwa kanuni za CAF ni kwamba, zile timu zote kubwa zinaanzia ugenini ila zile dhaifu na zinazodemadema zinaanzia nyumbani", amesema Jemedari Said Kazumari EFM Sports Headquarters.

Ninachompendea mchambuzi huyu mahiri kwa sasa Tanzania nzima Jemedari Said Kazumari wa EFM na TvE ni kwamba, huwa hakwepeshi na anapiga mule mule Ikulu tu bila ya kujali kuwa kwa asili yeye ni mwana Yanga SC lia lia.

Haya hebu njooni sasa mumpinge!
Kama wewe utopolo umemkubari Nani wakumpinga Sasa!?
 
Ukubwa wa Simba ni wa mchongo, ndio maana uwa anaanzia ugenini na anakuja kutolewa kwenye mashindano Nyumbani mfano Juenang galaxy, Kaizer Chief, Libolo fc n.k Timu zenye uhalisia katika ukubwa wao ambao si za mchongo siku zote shughuli uwa Zina maliza Nyumbani.

Yanga ndio mkubwa kwakua anamtandika Simba muda na wakati wowote na Mataji anayabeba,Uzuri wa ukubwa huitaji kujitutumua ni Mataji tu yanaongea.
yanga labda wakubwa kwa uchawi
 
Back
Top Bottom