F9T
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,677
- 4,959
Msome huyo kanzuchafu alicho tweet kuhusu yanga .Kwa hilo hakuna ubishi, yupo sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msome huyo kanzuchafu alicho tweet kuhusu yanga .Kwa hilo hakuna ubishi, yupo sahihi
Mkubwa anatandikwa 5_0Ukubwa wa Simba ni wa mchongo, ndio maana uwa anaanzia ugenini na anakuja kutolewa kwenye mashindano Nyumbani mfano Juenang galaxy, Kaizer Chief, Libolo fc n.k Timu zenye uhalisia katika ukubwa wao ambao si za mchongo siku zote shughuli uwa Zina maliza Nyumbani.
Yanga ndio mkubwa kwakua anamtandika Simba muda na wakati wowote na Mataji anayabeba,Uzuri wa ukubwa huitaji kujitutumua ni Mataji tu yanaongea.
Sio Tano brazili wakubwa wenzetu washawahi pigwa 7- 0, izo Tano mbona ndogo ata mbumbumbu fc tulishawahi ku mkanyaga.Mkubwa anatandikwa 5_0
Simba ni mbabe ana vikombe 52 overall kama nyie Yanga mnahesabu ligi kuu tuu basi hamna akili kweli.Si kumfunga Simba tu, Yanga Ndiye mmbabe wa timu zote nchini ila raha ya Yanga, kumfunga Simba mara nyingi kuliko timu yoyote nchini, Simba ambayo inajitutumua ionekane kubwa kumbe ni kibonde wa kutupwa.
Kama wewe utopolo umemkubari Nani wakumpinga Sasa!?"Kwa raundi hii na kwa kanuni za CAF ni kwamba, zile timu zote kubwa zinaanzia ugenini ila zile dhaifu na zinazodemadema zinaanzia nyumbani", amesema Jemedari Said Kazumari EFM Sports Headquarters.
Ninachompendea mchambuzi huyu mahiri kwa sasa Tanzania nzima Jemedari Said Kazumari wa EFM na TvE ni kwamba, huwa hakwepeshi na anapiga mule mule Ikulu tu bila ya kujali kuwa kwa asili yeye ni mwana Yanga SC lia lia.
Haya hebu njooni sasa mumpinge!
yanga labda wakubwa kwa uchawiUkubwa wa Simba ni wa mchongo, ndio maana uwa anaanzia ugenini na anakuja kutolewa kwenye mashindano Nyumbani mfano Juenang galaxy, Kaizer Chief, Libolo fc n.k Timu zenye uhalisia katika ukubwa wao ambao si za mchongo siku zote shughuli uwa Zina maliza Nyumbani.
Yanga ndio mkubwa kwakua anamtandika Simba muda na wakati wowote na Mataji anayabeba,Uzuri wa ukubwa huitaji kujitutumua ni Mataji tu yanaongea.
Vitakua vikombe vya kahawa.Simba ni mbabe ana vikombe 52 overall kama nyie Yanga mnahesabu ligi kuu tuu basi hamna akili kweli.