Jemedari Said: Simba SC ni timu kubwa ndiyo maana inaanzia ugenini na Yanga SC ni dhaifu inaanzia nyumbani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Kwa raundi hii na kwa kanuni za CAF ni kwamba, zile timu zote kubwa zinaanzia ugenini ila zile dhaifu na zinazodemadema zinaanzia nyumbani", amesema Jemedari Said Kazumari EFM Sports Headquarters.

Ninachompendea mchambuzi huyu mahiri kwa sasa Tanzania nzima Jemedari Said Kazumari wa EFM na TvE ni kwamba, huwa hakwepeshi na anapiga mule mule Ikulu tu bila ya kujali kuwa kwa asili yeye ni mwana Yanga SC lia lia.

Haya hebu njooni sasa mumpinge!
 
Ukubwa wa Simba ni wa mchongo, ndio maana uwa anaanzia ugenini na anakuja kutolewa kwenye mashindano Nyumbani mfano Juenang galaxy, Kaizer Chief, Libolo fc n.k Timu zenye uhalisia katika ukubwa wao ambao si za mchongo siku zote shughuli uwa Zina maliza Nyumbani.

Yanga ndio mkubwa kwakua anamtandika Simba muda na wakati wowote na Mataji anayabeba,Uzuri wa ukubwa huitaji kujitutumua ni Mataji tu yanaongea.
 
Mental Case hii.
 
Kwa hiyo ukubwa wa yanga ni kumfunga simba tu ?
kweli wenye akili ni wawili utopoloni
 
Si kumfunga Simba tu, Yanga Ndiye mmbabe wa timu zote nchini ila raha ya Yanga, kumfunga Simba mara nyingi kuliko timu yoyote nchini, Simba ambayo inajitutumua ionekane kubwa kumbe ni kibonde wa kutupwa.
 
Mkubwa G.ktk ubora wake,hakika huyu mwamba uto wote ndyo dawa yao hasa yule mzungu wao pori,maarufu kama MRS TOZI
"Kwa raundi hii na kwa Kanuni za CAF ni kwamba zile Timu zote Kubwa zinaanzia Ugenini ila zile dhaifu na zinazodemadema zinaanzia Nyumbani" amesema Jemedari Said Kazumari EFM Sports Headquarters.

Ninachompendea Mchambuzi huyu Mahiri kwa sasa Tanzania nzima Jemedari Said Kazumari wa EFM na TvE ni kwamba huwa hakwepeshi na anapiga mule mule Ikulu tu bila ya kujali kuwa kwa Asili Yeye ni mwana Yanga SC lia lia.

Haya hebu njooni sasa mumpinge!!!
 
Nchi Ina vituko sana hii, Yaani umeshindwa kuwa mkubwa kwenye Taifa lako, ukawe mkubwa kwenye mashindano ya Caf.
Yaani kambale ambaye Ameshindwa kuwa mkubwa kwenye kidimbwi akawe mkubwa kwenye mto kisa ana ndevu!!!
 
"Kwa raundi hii na kwa kanuni za CAF ni kwamba, zile timu zote kubwa zinaanzia ugenini ila zile dhaifu na zinazodemadema zinaanzia nyumbani", amesema Jemedari Said Kazumari EFM Sports Headquarters.

Ninachompendea mchambuzi huyu mahiri kwa sasa Tanzania nzima Jemedari Said Kazumari wa EFM na TvE ni kwamba, huwa hakwepeshi na anapiga mule mule Ikulu tu bila ya kujali kuwa kwa asili yeye ni mwana Yanga SC lia lia.

Haya hebu njooni sasa mumpinge!
Kweli
 
Kubwa la mapopoma Katka ubora wako . haya msome hapo chini huyo kazumari kanzuchafu
IMG_20221003_134539_755.jpg
 
Back
Top Bottom