Jemedari Said: Simba SC ni timu kubwa ndiyo maana inaanzia ugenini na Yanga SC ni dhaifu inaanzia nyumbani

Kwa hilo hakuna ubishi, yupo sahihi
Msome huyo kanzuchafu alicho tweet kuhusu yanga .Duniani hapa ogopa sana teknolojia . kila unachokiongea kinahifadhiwa .
 
Mkubwa anatandikwa 5_0
 
Si kumfunga Simba tu, Yanga Ndiye mmbabe wa timu zote nchini ila raha ya Yanga, kumfunga Simba mara nyingi kuliko timu yoyote nchini, Simba ambayo inajitutumua ionekane kubwa kumbe ni kibonde wa kutupwa.
Simba ni mbabe ana vikombe 52 overall kama nyie Yanga mnahesabu ligi kuu tuu basi hamna akili kweli.
 
Kama wewe utopolo umemkubari Nani wakumpinga Sasa!?
 
yanga labda wakubwa kwa uchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…