Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Sawa.Yanga ndo wana mashindano ya kimataifa
Yaani club bingwa
Hao wengine wanacheza UMITASHUMITA
Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kusema eti ni kombe la akina mama
Unadhani huko Algeria hakuna shule za msingiSawa.
Hao wa umitashumta mechi yao inachezewa mpitimbi Ruvuma?
Au hujui maana ya kimataifa?
Jumamosi utaanza kuwatukana tena.Yanga ndo wana mashindano ya kimataifa
Yaani club bingwa
Hao wengine wanacheza UMITASHUMITA
Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kusema eti ni kombe la akina mama
Ushaonesha kuwa utopoloni wenye mbongo wapo wawili tu.Unadhani huko Algeria hakuna shule za msingi
Kwanza walipofungwa alisema kaacha mambo ya Mpira.Jumamosi utaanza kuwatukana tena.
Rage alivowaita mbumbumbu hukumwelewa?Ushaonesha kuwa utopoloni wenye mbongo wapo wawili tu.
Rage alivowaita mbumbumbu hukumwelewaJumamosi utaanza kuwatukana tena.
Jemedari kasema kumshangilia Azizi Ki kuifunga Kengold, ni utopolo.Rage alivowaita mbumbumbu hukumwelewa?
Mchambuzi wa redio, meneja wa Aishi Manula na CEO wa JKT Ruvu.Jemedari said kasema uwezo wa wachezaji toka nje waliosajiliwa Simba na Yanga , uhalali wao wa kusajiliwa unatakiwa uonekane kwenye mechi za kimataifa na siyo kwenye mechi za ndani ya nchi.
Ana hoja, asikilizwe.
Na kushangilia Simba inayoshiriki mashindano yenu ya akina mama ndo nini SasaJemedari kasema kumshangilia Azizi Ki kuifunga Kengold, ni utopolo.
Ni kazi kweli kweli kumwelewa utopwinyo kama si Jakaya au Mzee Manara.Na kushangilia Simba inayoshiriki mashindano yenu ya akina mama ndo nini Sasa
Jemedari anasema kama hawana tofauti na WA ndani kwenye anga za kimataifa ni kwa nini tusisajili tu wachezaji wa ndani?Sasa Dube hata mechi za ndani kashindwa kufunga sembuse kimataifa?
Rage alivowaita mbumbumbu hukumwelewa?Ni kazi kweli kweli kumwelewa utopwinyo kama si Jakaya au Mzee Manara.
Huyo ana tatizo la afya ya akili. Kuwa naye makiniKwanza walipofungwa alisema kaacha mambo ya Mpira.
Lakini Dube anacheza mashindano ya club bingwaSasa Dube hata mechi za ndani kashindwa kufunga sembuse kimataifa?
Mhasibu fake Leo umekuja kufurahia mashindano ya akina mamaHuyo ana tatizo la afya ya akili. Kuwa naye makini
Wachambuzi wetu wengi ni wasema hovyoJemedari said kasema uwezo wa wachezaji toka nje waliosajiliwa Simba na Yanga , uhalali wao wa kusajiliwa unatakiwa uonekane kwenye mechi za kimataifa na siyo kwenye mechi za ndani ya nchi.
Ana hoja, asikilizwe.