Jemedari said: wachezaji toka nje ni Kwa ajili ya mechi za kimataifa

Jemedari said: wachezaji toka nje ni Kwa ajili ya mechi za kimataifa

Jemedari said kasema uwezo wa wachezaji toka nje waliosajiliwa Simba na Yanga , uhalali wao wa kusajiliwa unatakiwa uonekane kwenye mechi za kimataifa na siyo kwenye mechi za ndani ya nchi.

Ana hoja, asikilizwe.
Sasa hizo mechi za kimataifa watafika huko bila hizi za kitaifa!?
 
Lakini Dube anacheza mashindano ya club bingwa
Simba wanaoshiriki mashindano ya akina mama
Mama yako atacheza namba ngapi nitafurahi kumwona jezo imembana
 
Sasa hizo mechi za kimataifa watafika huko bila hizi za kitaifa!?
Sasa sijui kama umeelewa mantiki..

Huwezi kumsajili mchezaji Toka nje kama anachokuja kufanya ni kile kinachoweza kufanyiwa na wachezaji wa ndani.

Dhana ya kusajili wachezaji wa nje iko kuonesha wanasajiliwa kwa kuwa uwezo wao ni mkubwa kuliko wa wachezaji wa ndani.

Na Kwa Simba na Yanga lengo hasa huwa ni kwa ajili ya mashindano ya kimataifa.
 
Na kushangilia Simba inayoshiriki mashindano yenu ya akina mama ndo nini Sasa
Huoni aibu kijana?? Yani wenzio wamekuachia uonekane mshamba hakuna anaeongea huo ushubwada....na uzuzu huo....mashindano hayo uliyoyatolea jasho miaka mfululizo..maana hata ww awali ulikua mwana mama...hahahah
Yani unaonekana ww una gubu sana hata kwny familia yako..hahahahahh
 
Sio Mimi lakini
Aliyeyaita mashindano ya akina mama ni Mwina Kaduguda Kiongozi pale Simba
Kaduguda ndo muasisi
Jamani Makolo me Sina kosa mlaumu Kaduguda Kiongozi wa Simba CAFCC aliyakashfu mwenyewe lakini hujafa hujaumbika nyie ndo mpo Shirikisho,
Acheni tuwapopoe na ss
 
Mchezaji aonyeshe kiwango kwenye mechi zote si za kimataifa pekee huyo kolo international ni wakupuuzwa
 
Yanga ndo wana mashindano ya kimataifa
Yaani club bingwa
Hao wengine wanacheza UMITASHUMITA
Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kusema eti ni kombe la akina mama
Changia mada, jamaa ana hoja ya msingi tena kwa wote Simba na Yanga....ila kichwa kimekaa kiuchawauchawa tu...huwazi chochote ni kuropoka tu.
 
Yanga ndo wana mashindano ya kimataifa
Yaani club bingwa
Hao wengine wanacheza UMITASHUMITA
Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kusema eti ni kombe la akina mama
Sio wewe ulisema umeacha kushabikia Mpira?
 
Back
Top Bottom