Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Nimeona nifanye sharing ya video, nimechoka ku type.
Ila ili uwe kuolewa, lazima uwe na nguvu zaidi ya wanawake wengine wa bwanako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni weweView attachment 2698226
Nimeona nifanye sharing ya video, nimechoka ku type.
Ila ili uwe kuolewa, lazima uwe na nguvu zaidi ya wanawake wengine wa bwanako.
NtakuchapaHebu mwambie avue kwanza hizo nyanya masikoni .....
Ustaadh kumbe na wewe umo ehh, kwenye maeneo yetu pendwa, mvinyo na kitimoto chomaMwenye hiyo video shankupe Kwa kweli...ukimuweka ndani unaweza shinda bar..kukwepa Hilo domo
Domo hilo lina kazi yake kijana😂😂😂Mwenye hiyo video shankupe Kwa kweli...ukimuweka ndani unaweza shinda bar..kukwepa Hilo domo
Huyu mwamba muhuni sana aisee, kama avatar yake ilivyo. Sometimes mlokole, sometimes mganga msaidizi wa Mshana, na sometimes hana dini kama mchinaUsishangae akawa@gilesi au Bujibuji Simba Nyamaume
Transgender ⚧Huyu Jemima Mrembo Ni mwanaume 💯
😥😥😥Ntakuchapa
HUnie uko poa?
Ukorofi😁😁H
HUnie uko poa?
NAni akuchokoze zaidi yangu?Ukorofi😁😁