Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Kumbe ni weweView attachment 2698226
Nimeona nifanye sharing ya video, nimechoka ku type.
Ila ili uwe kuolewa, lazima uwe na nguvu zaidi ya wanawake wengine wa bwanako.
NtakuchapaHebu mwambie avue kwanza hizo nyanya masikoni .....
Ustaadh kumbe na wewe umo ehh, kwenye maeneo yetu pendwa, mvinyo na kitimoto chomaMwenye hiyo video shankupe Kwa kweli...ukimuweka ndani unaweza shinda bar..kukwepa Hilo domo
Domo hilo lina kazi yake kijana๐๐๐Mwenye hiyo video shankupe Kwa kweli...ukimuweka ndani unaweza shinda bar..kukwepa Hilo domo
Huyu mwamba muhuni sana aisee, kama avatar yake ilivyo. Sometimes mlokole, sometimes mganga msaidizi wa Mshana, na sometimes hana dini kama mchinaUsishangae akawa@gilesi au Bujibuji Simba Nyamaume
Transgender โงHuyu Jemima Mrembo Ni mwanaume ๐ฏ
๐ฅ๐ฅ๐ฅNtakuchapa
HUnie uko poa?๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Ukorofi๐๐H
HUnie uko poa?
NAni akuchokoze zaidi yangu?Ukorofi๐๐