Jenerali Brice Nguema: Viongozi wakiwaumiza Wananchi, Jeshi linapaswa kuwarudisia Uhuru na Utu wao

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1693836709690.png
Jenerali Brice Nguema ambaye ni kati ya Wanajeshi waliohusika katika kumuondoa Madarakani Rais Ali Bongo, ameapishwa kuwa Rais mpya huku akiweka ahadi za kurekebisha Sheria za Uchaguzi, Sheria za Adhabu na Katiba.

Nguema amesema uamuzi wa kumuondoa Rais aliyekuwepo ulikuwa muhimu kwa manufaa ya Taifa hilo huku akimnukuu Rais wa zamani wa Ghana, Jerry John Rawlings, “Wananchi wanapoumizwa na Viongozi, basi Wanajeshi wanapaswa kuwarudishia Utu na Uhuru wao".

Wakati hayo yakiendelea, Nchi hiyo imesimamishwa Uanachama wake katika Umoja wa Afrika (AU) tangu ilipofanya Mapinduzi ya Kijeshi na kuondoa Utawala wa miaka 53 wa Familia ya Bongo.

===========

The leader of Gabon's military junta has vowed to return power to civilians after "free, transparent" elections.

However, in a speech after being sworn in as interim president, he did not give a date for military rule to end.

Gen Brice Nguema led last Wednesday's coup against Ali Bongo, toppling the president shortly after he was named winner of a disputed election.

Crowds of cheering civilians turned up at the inauguration - the coup was welcomed by many eager for change.

However, some say Gen Nguema's rule will be a continuation of the 55-year Bongo dynasty.

Ali Bongo's father, Omar, was in power for 41 years before he died in 2009 and was succeeded by his son.

The general spent most his career in the Bongo's inner circle and is even thought to be Ali Bongo's cousin.

There was also a military parade at the event at the presidential palace in the capital, Libreville.

Former ministers from the ousted government also showed up, but were booed by a crowd of junta sympathisers.

The inauguration is the latest in a series of military takeovers across West and Central Africa.

Gabon is the sixth Francophone country to fall under military rule in the last three years as former colonial power France struggles to maintain its influence on the continent.

Gabon been suspended from the African Union following the coup, which has been condemned by the UN and France.

BBC
 
Hivi Jeshi letu limeshamaliza msako wa wananchi wanaovaa nguo zinazofanana na sare za jeshi?
Hili kundi la masoldier halina kazi..liende front huko Ukraine..likirudi litakuwa limeshika adabu.
 
Tume ya Uchaguzi ya Gaboni ilitaka kulazimisha Ali Bongo arudi madarakani baada ya kuchafua mifumo ya Uchaguzi
 
Back
Top Bottom