Jenerali David Musuguri atimiza umri wa miaka 101 leo

Jenerali David Musuguri atimiza umri wa miaka 101 leo

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
MKUU wa Majeshi mstaafu nchini Tanzania, Jenerali David Musuguri maarufu ‘Chakaza’ au Mtukula, ametimiza umri wa karne moja (miaka 101) tangu alipozaliwa Januari 4, 1920.

CDF (Mstaafu) kuanzia 1980 - 1988.

Mmoja wa mashujaa wa vita vya Kagera 1978-1979.

Ameweka makazi yake Musoma Mkoani Mara.

45CEAEDB-BFC7-41BD-8E8D-BD0CFE56E806.jpeg

2657480_IMG_5860.jpg
 
Hawa lazima waishi maisha marefu sana kwani huduma zote za muhimu anapata, kama bado yupo kazini tu!! Ndio maana hadi leo ukiwaona bado wana nguvu tu, jana nimemuona GEN. Salakikya mkuu wa majeshi wa kwanza (1964-1974) bado mzima kabisaaa!!!!

Nadhani Mwamunyange ndio ataishi sana na ule mwili wake!!! tofauti na kada nyingine ukistafu tu ndio njia ya kifo!!kwanza kuwaza mafao tu, yanakata robo ya miaka yako uliyobakiza!!
 
Askari wana kamsemo fulani eti heshima ya askari ni kufa kwa risasi badala ya kifo cha kifala. Sijui ni kutiana moyo hususan kwa "wapiganaji" wanaotangulia mbele? Anyway, HBD kwa Kamanda.
 
Kheri yake sijui Mimi Kama ntantoboa hata Nusu ya umri wake aisee
 
Hawa lazima waishi maisha marefu sana kwani huduma zote za muhimu anapata, kama bado yupo kazini tu!!ndio maana hadi leo ukiwaona bado wana nguvu tu, jana nimemuona GEN.salakikya mkuu wa majeshi wa kwanza(1964-1974) bado mzima kabisaaa!!!!nadhani mwamunyange ndio ataishi sana na ule mwili wake!!!tofauti na kada nyingine ukistafu tu ndio njia ya kifo!!kwanza kuwaza mafao tu, yanakata robo ya miaka yako uliyobakiza!!
... maisha ya mwanadamu ni majaliwa ya Muumba mwenyewe. Hakuna yeyote ambaye hata ajisumbue vipi aweza kujiongezea hata nukta moja ya umri wake.
 
Anaijua tarehe yake ya kuzaliwa ? Hongera zake hata hivyo kwa kutimiza karne, unavuna ulichopanda Biblia inatufundisha, ...
 
Hawa lazima waishi maisha marefu sana kwani huduma zote za muhimu anapata, kama bado yupo kazini tu!!ndio maana hadi leo ukiwaona bado wana nguvu tu, jana nimemuona GEN.salakikya mkuu wa majeshi wa kwanza(1964-1974) bado mzima kabisaaa!!!!nadhani mwamunyange ndio ataishi sana na ule mwili wake!!!tofauti na kada nyingine ukistafu tu ndio njia ya kifo!!kwanza kuwaza mafao tu, yanakata robo ya miaka yako uliyobakiza!!

Du Sarakikya kumbe bado yupo? 101 sio Mchezo aiseee!!
 
Hawa lazima waishi maisha marefu sana kwani huduma zote za muhimu anapata, kama bado yupo kazini tu!!ndio maana hadi leo ukiwaona bado wana nguvu tu, jana nimemuona GEN.salakikya mkuu wa majeshi wa kwanza(1964-1974) bado mzima kabisaaa!!!!nadhani mwamunyange ndio ataishi sana na ule mwili wake!!!tofauti na kada nyingine ukistafu tu ndio njia ya kifo!!kwanza kuwaza mafao tu, yanakata robo ya miaka yako uliyobakiza!!
Mwamunyange ndio alikuwa na sura ya ki CDF. Happy birthday Musuguli
 
Mwamunyange ndio alikuwa na sura ya ki CDF. Happy birthday Musuguli
Yule msokile ndio role model ya uanajeshi!! Mwembamba aliyenyooka na akivaa sare anapendeza sio hao wengine wanavitambi!!
 
Muumba akipenda utatoboa; akiamua kukuita hata asubuhi nyingine hutaiona.
We endelea kula KFC. alafu uje useme Muumba. Kumbuka muumba uyo uyo ndo alitupa utashi. Vitu vingine pia sisi tunahusika acha kubwetweka
 
Back
Top Bottom