TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Mungu amemuweka mpaka leo kama kielelezo ili vijana wanaotukana tukana na kulalamika watambue kwamba kuna watu walipata tabu kwny hii nchi hawakula bata wala kupata usingizi katika kulipigania Taifa letu na kulikomboa kutoka kwny mikono ya wanyang'anyi na maadui.
Mungu aendelee kumtunza mzee wetu General Musuguli.🙏🙏🙏🙏
Mungu aendelee kumtunza mzee wetu General Musuguli.🙏🙏🙏🙏