Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
... maisha ya mwanadamu ni majaliwa ya Muumba mwenyewe. Hakuna yeyote ambaye hata ajisumbue vipi aweza kujiongezea hata nukta moja ya umri wake.Hawa lazima waishi maisha marefu sana kwani huduma zote za muhimu anapata, kama bado yupo kazini tu!!ndio maana hadi leo ukiwaona bado wana nguvu tu, jana nimemuona GEN.salakikya mkuu wa majeshi wa kwanza(1964-1974) bado mzima kabisaaa!!!!nadhani mwamunyange ndio ataishi sana na ule mwili wake!!!tofauti na kada nyingine ukistafu tu ndio njia ya kifo!!kwanza kuwaza mafao tu, yanakata robo ya miaka yako uliyobakiza!!
Muumba akipenda utatoboa; akiamua kukuita hata asubuhi nyingine hutaiona.Kheri yake sijui Mimi Kama ntantoboa hata Nusu ya umri wake aisee
Hawa lazima waishi maisha marefu sana kwani huduma zote za muhimu anapata, kama bado yupo kazini tu!!ndio maana hadi leo ukiwaona bado wana nguvu tu, jana nimemuona GEN.salakikya mkuu wa majeshi wa kwanza(1964-1974) bado mzima kabisaaa!!!!nadhani mwamunyange ndio ataishi sana na ule mwili wake!!!tofauti na kada nyingine ukistafu tu ndio njia ya kifo!!kwanza kuwaza mafao tu, yanakata robo ya miaka yako uliyobakiza!!
Mwamunyange ndio alikuwa na sura ya ki CDF. Happy birthday MusuguliHawa lazima waishi maisha marefu sana kwani huduma zote za muhimu anapata, kama bado yupo kazini tu!!ndio maana hadi leo ukiwaona bado wana nguvu tu, jana nimemuona GEN.salakikya mkuu wa majeshi wa kwanza(1964-1974) bado mzima kabisaaa!!!!nadhani mwamunyange ndio ataishi sana na ule mwili wake!!!tofauti na kada nyingine ukistafu tu ndio njia ya kifo!!kwanza kuwaza mafao tu, yanakata robo ya miaka yako uliyobakiza!!
Huyo wa kushoto kwake ni mama yake mzazi?
Aliwahi kunikuta school,alikuja kufuatulia mwanae alikula suspension,,tukakutanisha macho mekunduuu.sura ys kaziMwamunyange ndio alikuwa na sura ya ki CDF. Happy birthday Musuguli
Bila shaka huyo dogo kipigo alichokutana nacho hatakisahau!Aliwahi kunikuta school,alikuja kufuatulia mwanae alikula suspension,,tukakutanisha macho mekunduuu.sura ys kazi
Yule msokile ndio role model ya uanajeshi!! Mwembamba aliyenyooka na akivaa sare anapendeza sio hao wengine wanavitambi!!Mwamunyange ndio alikuwa na sura ya ki CDF. Happy birthday Musuguli
Aishi zaidi.
We endelea kula KFC. alafu uje useme Muumba. Kumbuka muumba uyo uyo ndo alitupa utashi. Vitu vingine pia sisi tunahusika acha kubwetwekaMuumba akipenda utatoboa; akiamua kukuita hata asubuhi nyingine hutaiona.