Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Huyu ni wakunyonga kabisa.Huyu mshenzi nae lazima akanyee debe ICC
Ndugu Jacob John Mkunda hawezi kuongoza hata jeshi la mgambo.Katika watu niliokuwa nawaamini ni JW. Kumbe nao hamnazo tu, unanunuliwa kama trafic. Yaani tamaa ya madaraka kwa mtu mmoja inagharimu uhai wa watu elfu 10 na wewe upo tu unakenua
Watu wa aina hiyo hawahitajiki na watawala wa Afrika.Hiyo nafasi ilimfaa Capt. Tesha! Ni mzalendo na ni jasiri sana yule kijana.
Kwamba Lahisi hausiki Bali waliomdanganya, Kwa hiyo hata DPP Naye yumo na hizi Kesi za kubambika
Ada ya mja kunenaNadhani baada ya kifo cha Rais Magufuli, mrithi wake alitafuta jenerali dhaifu zaidi jeshini ili ampe nafasi ya ukuu wa majeshi ndipo alipomteua ndugu Jacob John Mkunda mzaliwa wa Morogoro na kumpa jukumu hilo kubwa kuliko uwezo wake.
Huyu bwana amejikuta akitumika kulinda maslahi ya dola na genge dogo lenye ushawishi kwa dola na kusahau kuwa lile jeshi analo liongoza ni jeshi la wananchi si mali ya dola wala kundi fulani la watu.
Najua ndugu Jacob John Mkunda utaondolewa muda wowote kuanzia sasa kwenye nafasi hiyo na yule jamaa wa Mara atapewa hiyo nafasi LAKINI nakuhakikishia kuwa mwisho wako utakuwa mbaya sana.
Wewe ndiyo kiongozi wa viongozi wa vyombo vyote vya ulinzi, wewe ulikuwa na taarifa zote muhimu na maamuzi yako yangeweza kuokoa au kuangamiza raia, kigugumizi chako na unprofessionalism yako imetufikisha hapa tulipo.
Vizazi vyote vitakukumbuka kama jenerali wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Tanzania.
Hakika umelidhalilisha sana jeshi la wananchi kiasi kwamba wananchi wamekosa imani nalo.
TAFADHALI POKEA LAWAMA HIZI NA UJIANDAE KWA HUKUMU YA KUNYONGWA HADI KUFA HUKU WANANCHI WAKISHANGILIA.
..huyo aliyepiga simu na msikilizaji wote wapumbavu, kwanza rais gani anayemuongelea..? sabab ya haya yote ni kulazimisha uchaguzi wakati dalili zote zilikuwa wazi wapiga kura hawataki uchaguzi ufanyike kwa mazingira hayo..! hizo sabab sabab anazotoa ni za kishenzi tu! wote wanastahili kunyongwa..aliyeshauriwa na waliomshauri hakuna mwenye ahueni!
Anashindwaje kukanusha kauli ya watu kutoka nje ya nchi kuja kuleta machafuko nchini wakati yeye ndiye anayehusika na kulinda mipaka?Katika watu niliokuwa nawaamini ni JW. Kumbe nao hamnazo tu, unanunuliwa kama trafic. Yaani tamaa ya madaraka kwa mtu mmoja inagharimu uhai wa watu elfu 10 na wewe upo tu unakenua
Huyu jenerali na yeye mbona kama ni wale wale tu machawa?
Ndio ujue yale mauaji yalikuwa hayana uhusiano kabisa na maandamano, bali kuna watu walikuwa na visasi vyao.Kilichoshangaza ni wahuni kutumia gari binafsi na kuua watu mtaani aisee waliuliwa hata wasiojua kitu kuhusu uchaguzi sijui waliwaza nini kwa kweli.