PostGE2025 Jenerali Jacob John Mkunda Hafai Hata Kuwa Mkuu wa Sungusungu

PostGE2025 Jenerali Jacob John Mkunda Hafai Hata Kuwa Mkuu wa Sungusungu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ndio ujue yale mauaji yalikuwa hayana uhusiano kabisa na maandamano, bali kuna watu walikuwa na visasi vyao.

Imagine kuna sehemu hao majangiri walikuwa wanaenda na IST na sehemu zingine piki piki tena yamevaa nguo za kiraia kiasi kwamba ni ngumu kuwajua, yaani nyie hamjui hili wala lile mnashangaa mnaanza kushambuliwa tu..!!

Kaka wale mashetani wameua watu kwenye mazingira ya kiuonevu sana.
Mwanza waliuliwa vijana walikua kwenye banda la mpira alipona mmoja tu nae ilimbalaza kwenye mbavu aisee inaonekana ni mpango maalumu ulipangwa ule sio bure..
 
Katika watu niliokuwa nawaamini ni JW. Kumbe nao hamnazo tu, unanunuliwa kama trafic. Yaani tamaa ya madaraka kwa mtu mmoja inagharimu uhai wa watu elfu 10 na wewe upo tu unakenua
Nimecheka Kweli kweli
 
Hopeless kabisa huyo jamaa, naombea awe anatokewa na njozi mbayambaya za watu waliouawa wote kila akilala usiku. Kwanini alishindwa kulinda roho za watu zisiuliwe kinyama vile.
 
Nadhani baada ya kifo cha Rais Magufuli, mrithi wake alitafuta jenerali dhaifu zaidi jeshini ili ampe nafasi ya ukuu wa majeshi ndipo alipomteua ndugu Jacob John Mkunda mzaliwa wa Morogoro na kumpa jukumu hilo kubwa kuliko uwezo wake.

Huyu bwana amejikuta akitumika kulinda maslahi ya dola na genge dogo lenye ushawishi kwa dola na kusahau kuwa lile jeshi analo liongoza ni jeshi la wananchi si mali ya dola wala kundi fulani la watu.

Najua ndugu Jacob John Mkunda utaondolewa muda wowote kuanzia sasa kwenye nafasi hiyo na yule jamaa wa Mara atapewa hiyo nafasi LAKINI nakuhakikishia kuwa mwisho wako utakuwa mbaya sana.

Wewe ndiyo kiongozi wa viongozi wa vyombo vyote vya ulinzi, wewe ulikuwa na taarifa zote muhimu na maamuzi yako yangeweza kuokoa au kuangamiza raia, kigugumizi chako na unprofessionalism yako imetufikisha hapa tulipo.

Vizazi vyote vitakukumbuka kama jenerali wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Tanzania.

Hakika umelidhalilisha sana jeshi la wananchi kiasi kwamba wananchi wamekosa imani nalo.

TAFADHALI POKEA LAWAMA HIZI NA UJIANDAE KWA HUKUMU YA KUNYONGWA HADI KUFA HUKU WANANCHI WAKISHANGILIA.
ICC The Hague itawanyoosha sana mpaka wajutie walichofanya
 
Ndio ujue yale mauaji yalikuwa hayana uhusiano kabisa na maandamano, bali kuna watu walikuwa na visasi vyao.

Imagine kuna sehemu hao majangiri walikuwa wanaenda na IST na sehemu zingine piki piki tena yamevaa nguo za kiraia kiasi kwamba ni ngumu kuwajua, yaani nyie hamjui hili wala lile mnashangaa mnaanza kushambuliwa tu..!!

Kaka wale mashetani wameua watu kwenye mazingira ya kiuonevu sana.
Kmkm na Polisiccm walikuwa wanavua unform wanapora wanaiba wanachoma vituo vya mafuta ili wapate kisingizio cha kuwapiga watu Risasi ndiyo maana wengi wameuawa majumbani mitaani wakiwa ni wapita njia tu
 
Vizazi vyote vitakukumbuka kama jenerali wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Tanzania.

Hakika umelidhalilisha sana jeshi la wananchi kiasi kwamba wananchi wamekosa imani nalo.
Umemwambia maneno yanayomuhusu kiundani kabisa ila pale uliposema yeye ni alichaguliwa sababu waliomchagua walijua yeye ni dhaifu yaan CDF yupo chini ya IGP.. CDF anakua mdogo anazidiwa hata na Police Constable (Private) mwenye Plain uniform
 
Hopeless kabisa huyo jamaa, naombea awe anatokewa na njozi mbayambaya za watu waliouawa wote kila akilala usiku. Kwanini alishindwa kulinda roho za watu zisiuliwe kinyama vile.
Nayeye anauliza kwanini waliamua kufanya uhalifu na kutaka kufanya nchi isiwe na amani na utulivu?
 
Waliofanya uhalifu ni polisi tena mbele ya jeshi analo liongoza yeye.
Polisi ndiyo walichoma miundombinu ya magari ya mwendokasi, magari ya umma na ya watu binafsi? Kuna kipindi tusiongozwe na hisia zaidi na kuuficha ukweli kwasababu ya matamanio yetu.
 
Nayeye anauliza kwanini waliamua kufanya uhalifu na kutaka kufanya nchi isiwe na amani na utulivu?
ICC wakitua wataanza na yeye, hana pa kukimbilia, jipange ukawe wakili wake inaonekana una "hoja nzuri" za kumtetea
 
Polisi ndiyo walichoma miundombinu ya magari ya mwendokasi, magari ya umma na ya watu binafsi? Kuna kipindi tusiongozwe na hisia zaidi na kuuficha ukweli kwasababu ya matamanio yetu.
Kwahiyo solution ilikuwa ni kuwafuata watu majumbani na kuwafyatulia risasi sio?
 
Back
Top Bottom