Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Mwanza waliuliwa vijana walikua kwenye banda la mpira alipona mmoja tu nae ilimbalaza kwenye mbavu aisee inaonekana ni mpango maalumu ulipangwa ule sio bure..Ndio ujue yale mauaji yalikuwa hayana uhusiano kabisa na maandamano, bali kuna watu walikuwa na visasi vyao.
Imagine kuna sehemu hao majangiri walikuwa wanaenda na IST na sehemu zingine piki piki tena yamevaa nguo za kiraia kiasi kwamba ni ngumu kuwajua, yaani nyie hamjui hili wala lile mnashangaa mnaanza kushambuliwa tu..!!
Kaka wale mashetani wameua watu kwenye mazingira ya kiuonevu sana.
yale mazoezi yao ya kuokoa mateka sijui wanaya apply wapi.Hawa wajeda wetu kazi yao ni kupasua tofali kwa kichwa
JWTZ=Jeshi la Wananchi wa Tanzania
Sasa jeshi ni la wahuni wa kakikundi fulani!
SHAME ON YOU.
Nimecheka Kweli kweliKatika watu niliokuwa nawaamini ni JW. Kumbe nao hamnazo tu, unanunuliwa kama trafic. Yaani tamaa ya madaraka kwa mtu mmoja inagharimu uhai wa watu elfu 10 na wewe upo tu unakenua
ICC The Hague itawanyoosha sana mpaka wajutie walichofanyaNadhani baada ya kifo cha Rais Magufuli, mrithi wake alitafuta jenerali dhaifu zaidi jeshini ili ampe nafasi ya ukuu wa majeshi ndipo alipomteua ndugu Jacob John Mkunda mzaliwa wa Morogoro na kumpa jukumu hilo kubwa kuliko uwezo wake.
Huyu bwana amejikuta akitumika kulinda maslahi ya dola na genge dogo lenye ushawishi kwa dola na kusahau kuwa lile jeshi analo liongoza ni jeshi la wananchi si mali ya dola wala kundi fulani la watu.
Najua ndugu Jacob John Mkunda utaondolewa muda wowote kuanzia sasa kwenye nafasi hiyo na yule jamaa wa Mara atapewa hiyo nafasi LAKINI nakuhakikishia kuwa mwisho wako utakuwa mbaya sana.
Wewe ndiyo kiongozi wa viongozi wa vyombo vyote vya ulinzi, wewe ulikuwa na taarifa zote muhimu na maamuzi yako yangeweza kuokoa au kuangamiza raia, kigugumizi chako na unprofessionalism yako imetufikisha hapa tulipo.
Vizazi vyote vitakukumbuka kama jenerali wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Tanzania.
Hakika umelidhalilisha sana jeshi la wananchi kiasi kwamba wananchi wamekosa imani nalo.
TAFADHALI POKEA LAWAMA HIZI NA UJIANDAE KWA HUKUMU YA KUNYONGWA HADI KUFA HUKU WANANCHI WAKISHANGILIA.
Kmkm na Polisiccm walikuwa wanavua unform wanapora wanaiba wanachoma vituo vya mafuta ili wapate kisingizio cha kuwapiga watu Risasi ndiyo maana wengi wameuawa majumbani mitaani wakiwa ni wapita njia tuNdio ujue yale mauaji yalikuwa hayana uhusiano kabisa na maandamano, bali kuna watu walikuwa na visasi vyao.
Imagine kuna sehemu hao majangiri walikuwa wanaenda na IST na sehemu zingine piki piki tena yamevaa nguo za kiraia kiasi kwamba ni ngumu kuwajua, yaani nyie hamjui hili wala lile mnashangaa mnaanza kushambuliwa tu..!!
Kaka wale mashetani wameua watu kwenye mazingira ya kiuonevu sana.
Umemwambia maneno yanayomuhusu kiundani kabisa ila pale uliposema yeye ni alichaguliwa sababu waliomchagua walijua yeye ni dhaifu yaan CDF yupo chini ya IGP.. CDF anakua mdogo anazidiwa hata na Police Constable (Private) mwenye Plain uniformVizazi vyote vitakukumbuka kama jenerali wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Tanzania.
Hakika umelidhalilisha sana jeshi la wananchi kiasi kwamba wananchi wamekosa imani nalo.
Unazani naye angemtosa JK?Mwamunyange alikuwa mtu saana.
Kwani unadhani kilichofanya kikwete ampe sumu ni nini?Unazani naye angemtosa JK?
Nayeye anauliza kwanini waliamua kufanya uhalifu na kutaka kufanya nchi isiwe na amani na utulivu?Hopeless kabisa huyo jamaa, naombea awe anatokewa na njozi mbayambaya za watu waliouawa wote kila akilala usiku. Kwanini alishindwa kulinda roho za watu zisiuliwe kinyama vile.
Waliofanya uhalifu ni polisi tena mbele ya jeshi analo liongoza yeye.Nayeye anauliza kwanini waliamua kufanya uhalifu na kutaka kufanya nchi isiwe na amani na utulivu?
Polisi ndiyo walichoma miundombinu ya magari ya mwendokasi, magari ya umma na ya watu binafsi? Kuna kipindi tusiongozwe na hisia zaidi na kuuficha ukweli kwasababu ya matamanio yetu.Waliofanya uhalifu ni polisi tena mbele ya jeshi analo liongoza yeye.
ICC wakitua wataanza na yeye, hana pa kukimbilia, jipange ukawe wakili wake inaonekana una "hoja nzuri" za kumteteaNayeye anauliza kwanini waliamua kufanya uhalifu na kutaka kufanya nchi isiwe na amani na utulivu?
so hii message ni kutoka kwa jenerali, seriously???
Kwahiyo solution ilikuwa ni kuwafuata watu majumbani na kuwafyatulia risasi sio?Polisi ndiyo walichoma miundombinu ya magari ya mwendokasi, magari ya umma na ya watu binafsi? Kuna kipindi tusiongozwe na hisia zaidi na kuuficha ukweli kwasababu ya matamanio yetu.
SIyo suluhisho, suluhisho tusichome nchi kila mtu atakuwa salama.Kwahiyo solution ilikuwa ni kuwafuata watu majumbani na kuwafyatulia risasi sio?