Jenerali Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongo Inatakiwa Kubaki Wazi

Haya ni maagizo ya UNESCO ambayo yana tally na the 2030 agenda which demand Zero Carbon emmission.I believe you can extrapolate and know what Zero Carbon Emmissision means.
Nipo Engine room

Kumbuka Kuna Makubaliano ya UNESCO na Ngorongoro...hii soon inakwenda KUFUKUWA
 
ENEO LA NGORO NGORO NI MBUGA TENGEFU KWA AJILI YA WANYAMA PEKEE, SHUGHULI ZINAZORUHUSIWA NI SHUGHULI ZA KITALII PEKEE, SIO RUHUSA KUONDOSHA AIDHA KUBEBA AIDHA KUHAMISHA WANYAMA KATIKA ENEO HILO.
Duh!! Mama kama hujuwi kitu funga kopo
 
Muongo mbwa wewe
 
Huyu nae bora angekaa kimya tu!
.
Tabu yote hii ni sababu yake, wakati wenzie walishashtuka.
We mpuuzi kweli, kwahiyo wangempindua Samia ndio unadhani angewekwa fisadi mwingine wa CCM mambo yangebadilika?

Hivi kuna wajinga bado mnaamini kuna CCM anaweza mpindua CCM ili aweke mzalendo? Hata wao wangemuweka boya boya kama Mhe Mpango ili wampelekeshe na waited wanavyotaka
 
Umesema ukweli kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…