Jenerali Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongo Inatakiwa Kubaki Wazi

Jenerali Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongo Inatakiwa Kubaki Wazi

Haya ni maagizo ya UNESCO ambayo yana tally na the 2030 agenda which demand Zero Carbon emmission.I believe you can extrapolate and know what Zero Carbon Emmissision means.
Nipo Engine room

Kumbuka Kuna Makubaliano ya UNESCO na Ngorongoro...hii soon inakwenda KUFUKUWA
 
ENEO LA NGORO NGORO NI MBUGA TENGEFU KWA AJILI YA WANYAMA PEKEE, SHUGHULI ZINAZORUHUSIWA NI SHUGHULI ZA KITALII PEKEE, SIO RUHUSA KUONDOSHA AIDHA KUBEBA AIDHA KUHAMISHA WANYAMA KATIKA ENEO HILO.
Duh!! Mama kama hujuwi kitu funga kopo
 
Hiyo ni kweli Ngorongoro majengo yote pamoja na lodges na hoteli hazitakiwi kuwepo . Watalii wanatakiwa waingie na na kutalii Kisha wakalale nje ya crater ili kupisha wanyama waishi maisha yao ya kawaida. Mifugo huleta maradhi kwa wanyama pori pia taa zinazowashwa usiku na harufu za diseli ya jenereta zinaadhiri uzazi wa wanyama. Haya tulifundishwa na kuyajadili mwaka 1984 nchini Austria chuo cha Utalii, hoteli na catering. Vinginevyo wanyama wote watatoweka ndani ya crater.
Muongo mbwa wewe
 
Huyu nae bora angekaa kimya tu!
.
Tabu yote hii ni sababu yake, wakati wenzie walishashtuka.
We mpuuzi kweli, kwahiyo wangempindua Samia ndio unadhani angewekwa fisadi mwingine wa CCM mambo yangebadilika?

Hivi kuna wajinga bado mnaamini kuna CCM anaweza mpindua CCM ili aweke mzalendo? Hata wao wangemuweka boya boya kama Mhe Mpango ili wampelekeshe na waited wanavyotaka
 
Kwa hiyo NO human activities

Multiple land status IMEONDOLEWA

Mkumbuke watalii huja kuona jinsi binadamu anavyoweza kuishi pamoja na wanyama bila tatizo na hiyo ndo inamplekea Travel Agent kuuza kwa wingi safari za huko shimoni

cc UNESCO

NOTE: Bima na IKOLOJIA wapi na wapi
Umesema ukweli kabisa!
 
Back
Top Bottom