Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Niliwaahi andika humu, ila shida ni kutafutana.
Mimi Kaka yangu ( mtoto wa mama mkubwa)
Wakiwa pale kambi ya ukomandoo Morogoro...
Posho zao wakawa hawapewi, wakaamua kuja Dar makao makuu JWTZ kulalamikia.
maajabu, wakapewa Kesi za Uhaini, uhujum, uasi, uporaji wa Mali za Raia.
Walikua vijana 60 wa Mafunzo ya ukomando
30 wakasamehewa ...30 Wakafungwa jela mwaka 2015 akiwemo Kaka yangu huyo.
Waziri Mkuu anajua, Mwinyi anajua, Mwanasheria Mkuu wa wakat huo anajua,Mkuu wa Majeshi alopita anajua ..maana suala lao lilijitokeza 2013 .
WAKAFUKUZWA KAZI BILA KUPEWA BARUA YA KUACHISHWA KAZI, BILA KUPEWA MAFAO YAO, IKUMBUKE TOKA HUO MWAKA 2013 MPAKA 2015 ,MISHAHARA YAO ILISIMAMISHWA.
Walikua kuachiwa mwaka 2017 kwa msamaha
mpaka naongea hii Leo, Hawa vijana wamejitahidi kutafuta haki zao sanaaa ,wametumia wanasheria wapiiii..suala lao linaminywa chini chini.
KWA sasa wamebaki vijana 29. ..baada ya mmoja maisha kumchanganya, akaungana kwenye ujambazi,... Alipigwa risasi.
Makomandoooo 30 kufukuzwa kizembe ni mbaya sana tunatafuta matatizo ; nasikia DRC wanatafuta sana makomandoo wa Tanzanian ambapo walikua wakimtumia sana Capt Kadego lakini Serikali ilikataaaa katakata kuruhusu for obvious reasons lakini makomandoo wetu wanapendwa wakifanikiwa tu kuvuka mpaka kwenda DRC wanapata pesa nzuri …
kuna habari sio Rasmi kuwa uongozi uliopita “ulimuhifadhi” Capt Kadego … haijulikani yuko wapi pamoja na Makomandooo wengine kama hao waliotoweka