Jenerali Mabeyo, unayasikia yasemwayo na makomandoo wetu mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?


Makomandoooo 30 kufukuzwa kizembe ni mbaya sana tunatafuta matatizo ; nasikia DRC wanatafuta sana makomandoo wa Tanzanian ambapo walikua wakimtumia sana Capt Kadego lakini Serikali ilikataaaa katakata kuruhusu for obvious reasons lakini makomandoo wetu wanapendwa wakifanikiwa tu kuvuka mpaka kwenda DRC wanapata pesa nzuri …
kuna habari sio Rasmi kuwa uongozi uliopita “ulimuhifadhi” Capt Kadego … haijulikani yuko wapi pamoja na Makomandooo wengine kama hao waliotoweka
 

Msemaji Akubadili Gia angani alitaka kuongelea mambo mengine…
Hili suala la makomandooo linalalamikiwa sana na askari hasa wa chini nchi nzima kimya kimya wanaumia moyoni … ni kulazimisha uasi wa kujitakia na uadui na polisi kwa matendo ya kina Kingai ; mahita jr ; Gudluck na wengine
mnajua ukichukua vijana 100 kufundisha makomandoo kama una bahati watafaulu 5 alafu mtu amekaaaa kwenye kiyoyozi anawafukuza tu kazini kwa uonevu…
 
Huyu mama sikujua kama ni katili namna hii. I hate her
 

mbona wakuuu wanaotumiaa ARV na kisukari ambao hawako combat fit kama yule Mkuu wa Mkoa Alitoka jkt hawakufukuzwa
Kama mtu kaumia masikio au ki psychologia si wangeweza kupewa kazi nyingine ambazo hazina madhara ? Wanaweza hata kupelekwa kwenye ukufunzi wa mgambo
mbona Nyerere hakuwafukuza kazi Askari walioumia vita Kagera na Msumbiji wengi wakiwamo viwete waliendelea kuwa pale Lugalo ili wapate matunzo na walioweza kufanya kazi za mikono kama utarishi au planning waliendelea kutumika wakati utaratibu wa kuwastaafisha ukiendelea
namna unavyowatendea askari inaleta morali kwa walio mstari wa mbele kupigana bila Woga wakijua wakifa au kuumia watatunzwaa
 
Ndio kuna Sheria, hizo Sheria zao hazijali Haki ??? Yaan kumfukuza MTU bila kumpa barua??? Wala Mafao yake aloyatumikia muda wote huo!!!?.
JWTZ hakuna kuajiriwa bali kjna kuandikishwa hivyo hakuna barua ya kuachishwa kazi. Usifikiri kama uraiani. Kasome sheria za Jeshi na taratibu zao zinapatikana kwenye website yao mkuu.
 
Hao kwa sasa sio askari wa Jwtz, wapambane na hali zao tu.
Ni kweli siyo askari ,lakini wanayo mafunzo na ujuzi mkubwa wa mambo ya kijeshi. Hivyo si vema kudhani kwamba hawana madhara . Lakini pia kuna waliochishwa jeshi hadi leo hawakulipwa chochote. Tujifunze kutenda haki.
 
Msuguli asingekubali udhaliliahaji kama huu

wale Generals MUSUGURI na KIARO hawakau na elimu ya darasani lakini walikua na elimu kubwa ya kijeshi na uzoefu wa kimapigano
Waliofanya nao kazi wanajua namna walivyokua wanathamini askari wa chini na ni kwa sababu wao walianzia chini kabisa
enzi zao ikitokea issue ya haki za askari kama hii wangeenda moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu kumuonya madhara yale na ndio hii Amani yetu haya mambo ya kuogopa Rais hadi kuacha mambo kama haya kutokea ni uzembe
 
Wameonesha utii wa mamlaka, kupigana na kujinasua wangeweza ila si ndiyo ingehalalisha kuwa wao ni magaidi?
Acha uongo hawana mafunzo wanabomoa tofali vibao tu vya Godluck wanalia
 
Zamani tulikuwa tunaambiwa kwamba komando mmoja anaweza kupiga watu 1,000 kwa mpigo. Sasa nashangaa kusikia komando analia eti alikamatwa kiholela na kuteswa. Ajabu!
Tena alikuwa anapigwa viboko na mahita Hadi analia
 

Pole pole tutaelewana. Jaji Siyani anasema hawakuteswa. Yeye ni sehemu ya akina Kingai, Mahita, Goodluck, Jumanne na Msemwa?
 
Utawala katili sana huu haufai, asante MUNGU hii kesi imefukua mambo mengi sana ambayo tulikuwa hatuyajui kumbe watu wanateswa kama kenge
Waliambiwa lkn toka mwanzo waachiane na hii kesi. Upande wa Jamhuri ukiongozwa na chief Hangaya wakashupaza Shingo.

Ili kufunika hili jambo kuna Askari Polisi watakaotolewa kafara. Ni suala la muda tu.
 
Mzee tupatupa JWTZ wanasheria na taratibu zao ambazo ni tofauti na chombo chochote hapa TZ.

Adamoo namfahamu tangu 841 kj akiwa danger coy.

Ukiona askari JWTZ anafukuzwa jeshi tena commando ujue kuna mengi na mazito yaliyoko nyuma yake ambayo mm na ww hatuyajui.

Jwtz wana mahakama zao ambazo unatumikia kufungo ukiwa kazin lakn endapo hubadiliki unapigwa chini.

Hao akina Adamoo baada ya kufukuzwa kazi ndio wakajiunga huko kwa mbowe na mwenzao mmoja mzanzibar akawa mkufunzi kibiti.

Hapa wengi mnajadili haya kwa mtazamo wa kisiasa lakn utambue kuwa mpaka Jwtz wanakufukuza ujue umeshindikana.

Siku hizi vijana wengi wanaojiunga majeshini ni wale walioshindikana nyumban na wanapokuwa kazn bado hawabadliki wanaendekeza usera mavi.
 

"Waziri Mkuu anajua, Mwinyi anajua, Mwanasheria Mkuu wa wakat huo anajua,Mkuu wa Majeshi alopita anajua."

 
Mimi natafuta komando wa kunilinda kumbe wapo mitaani nitafulieni mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…