Jenerali Mabeyo, unayasikia yasemwayo na makomandoo wetu mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?


Kingai, Jumanne, Mahita, Goodluck na Msemwa wana mabandiko yao generic. Kama hili lako mkuu.



Ukweli mchungu: waliyotendewa makomando hawa si haki na wahusika ni muhimu wakatiwa adabu.
 
Wakiamua kukinukisha hapatakalika. 29 commandos ni jeshi kamili ujue
 
Mwambie mtani wako. Atumie elimunyake,cheo chake,na namjua NI mcha Mungu. Achunguze hili Jambo. Yawezekana hawa wakamataji sio Polisi NI genge Fulani,Ila limejichomeka kwenye kivuli cha TAASISI yetu tunayo iamini
 
Kwenye mkutano wa JWTZ na vyombo vya habari walisema jeshi haliajiri lakini linaandikisha,kama hujaajiriwa na umeandikishwa tu ndo chanzo cha kutelekezwa.
lakini jwtz kutelekeza komando haijakaa sawa.
pia komandoo kukamatwa/kutekwa kama kuku kuna siku hao polisi watapata wakinachokitafta,
hebu tujiulize kama makomandoo wote wako kama akina Adamoo au Bwile?
je walioko huko makambini wanachuliaje wenzao kuteswa tena na polisi?
au na wao kesho wakiwa mtaani yatawapata ya wenzao?
maswali mengi kuliko majibu
 
hapa JF kuna siku mada zinazogusa ccm zitakula ban au kufutwa !.
tupo hapa maana mwenye JF na moderator wanajua utamu wa nchi sasa kuogopa
 
Kwa maana iyo jeshi nao wanamakosa katika kuchukua watu ambao si waminifu,
 
Kuna jamaa mtaani kwetu yupo kwenye miaka 48 anasema yeye kastaafu mwaka juzi,je nae atakuwa amefukuzwa ama niamini tu kastaafu kama alivyoniambia
 
Hawa hawakuwa Makomandoo wa JWTZ wakati wanakamatwa.

Walikwishafukuzwa jeshini kwa utovu wa nidhamu.

Wakaamua kuwa Makomandoo wa mbowe na hatujui alitaka kuwatumia kwa kazi ipi.

Subirini mahakama iamuwe haki. Acheni kuwewseka ovyo mitandaoni .
 
Wale vijana hata kwa kuangalia kwa sura tu.(wataalamu wa saikolojia mtusaidie.) Kuna sura ya gaidi kweli hapo? vijana ambao wametumikia Taifa kwa uaminifu Leo wanalipwa mateso,kisa siasa.Inaumiza Sana.
 
Acha kutishia nyau. Kwahiyo mapolisi hawawezi kuzichapa? Kiufupi tuseme tu kitawaka maana mapoti nao si watu wa mchezo mchezo.
 
Shida inakuja JF watu humu wanajifanya wajuaji sana kumbe wanaungua na jua hao makomado ni walevi tu wa pombe za kienyeji jeshi msifikiri kma sungu sungu
 
Acha kumtisha mtu wwe we nani
 
Shida inakuja JF watu humu wanajifanya wajuaji sana kumbe wanaungua na jua hao makomado ni walevi tu wa pombe za kienyeji jeshi msifikiri kma sungu sungu
Kwaiyo walikuwa makomandoo wenzake na jaydee?
 
Akili hauna unafikiri ukiwa na upande shameful and pathetic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…