njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Huu uonevu hadi lini jamani? wanayanga wanahoji huko mtandaoni haswa facebook... wanadai mechi ya ihefu iliahirishwa kimkakati ili Bm 3 aikose simba
Kwani ratiba ya international games haikujulikana kabla? wanahoji mbona Inonga hadi leo hajafungiwa?
Jenerali manara,wana yanga ni watiifu sana kwako,umewasaidia kusafisha virusi hapo klabuni viitwavyo Nugaz na Bumbuli na daima wanakushukuru kwa hilo
Uliwaambia bin kazumari jemedari said na ally kamwe ni maadui wa yanga nao wameitikia wito ,angalia morale ya wanayanga wakati wanampa kichapo yule shabiki wa coastal union aliyekuwa analoga nje ya uwanja pale arusha ila kwa bahati mbaya akapoteza maisha mt meru hospital
Yote hayo yanatokana na uhamasishaji wako wa kuwafanya wanayanga kuipagania team yao na kukataa ikosolewe au isemwe vibaya, maneno yako yanakubalika sana jangwani
Laiti kama ile amri uliyoitoaga ukiwa simba kwamba washabiki wa yanga ni marufuku kuingia games za kimataifa za simba ungeitolea ukiwa yanga utekelezaji wake ungekuwa mkubwa tungeshuhudia maiti za wanasimba pale temeke hospital
SEMA BASI NENO KUHUSU HII ADHABU YA BM 3 WATIIFU WAKO WANAISUBIRIA KWA HAMU SANA GENERAL BUGATTI