koboG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 2,763
- 5,167
Kumbe ushajua huko utopoloni wenye akili ni 2 basi kesho sope atatoa tamkoBora sisi tunao wawili wenye akili huko kwenu mambumbumbu wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ushajua huko utopoloni wenye akili ni 2 basi kesho sope atatoa tamkoBora sisi tunao wawili wenye akili huko kwenu mambumbumbu wote
Uonevu umezidi sana wanayanga wako tayari kuingia mtaaniMnabwabwaja
Yaani lile tukio wangefanyiwa mashabiki wa yanga na walivyo vilaza wangesema mashabiki wa coastal wazuie yaani ilikuwa yanga kashapigwa moja ilikuwa shabiki wa coastal union akipita mbele ya mashabiki wa yanga walikuwa wanampiga hapo ni ndani lakini sio wachambuzi wa mchongo wala media au takadini waliokemea tukio hilo.Na inasemekana waliua.
Yule jamaa aliyepigwa pale nje inasemekana alifia hospitali.
TFF imewaacha tu,lakini yote haya yanasababishwa na manara a.k.a lete mdhungu pori.
Hapa manyumbu yanasubiri maelekezo kutoka kwa mdhungu pori ili yalete vurugu.
Nadhani kuna umuhimu wa kuanza kusaka hawa magaidi mmoja mmoja na kumalizana nao kimya kimya.Maana soka haliwezi kuwa vita kama wanavyotaka kufanya
Mmepanga kuwaua kama yule shabiki wa coastal union kule arusha?Makolo FC na Karai wao Tifuatifua watajua hawajui tarehe 23 October......
Watajua hawajui tarehe hiyo.Mmepanga kuwaua kama yule shabiki wa coastal union kule arusha?
Hapana msiwaue tafadhali hata yule wa coastal union alikuwa hajui kama siku ile wana yanga wangekatisha uhai wake kwa kipigo kikaliWatajua hawajui tarehe hiyo.
Sawa muzee.....Hapana msiwaue tafadhali hata yule wa coastal union alikuwa hajui kama siku ile wana yanga wangekatisha uhai wake kwa kipigo kikali
Mbona mnajiamini sana na kuwekeza akil zote kwny kumfunga Simba kuna uchawi hapa si bure? Mkimfunga mnyama ndo mtaacha kuwa utopolo? Akili ndogo sana hizi. Ila mm nasema hamtaifunga Simba abadaaaniAdhabu yenu iko palepale! Hata muwafungie wachezaji 10! Bado tarehe 23 Oktoba, lazima mtatafutana tu uchawi.